AlhamdulilLah mambo yanaiva sasa👍🏻 we need to wake up as a Muslims in Tanzania
2026-08-10 00:08:08
1
marungu_jnr :
Maswali yote kutoka sehemu ya kwanza hadi sehemu hii ya pili licha ya kwamba yaliulizwa miaka 22 iliyopita, hadi leo bado ni maswali halali na yanayohitaji majibu.
2026-08-09 17:45:57
14
Al husseniy kipenzi :
subhaanallah
2026-08-10 04:10:57
2
kaizilege Mahmood :
sheikh Allah akujalie afya njema Inshaallah
2026-08-10 05:03:27
4
w:🥰 :
Subhannallah
2026-08-10 12:22:25
2
Mwana艾莎布鲁纳🇺🇲 :
kama wanafanya hivyo basi bakwata wapo sahihi kwa asimilia 100😂🥰
2026-08-10 04:44:41
2
user4205934420485 :
bakwata usalama wa taifa uliojfcha katika kivuli cha dini
2026-08-10 09:53:03
3
Mwirabucha 24hs :
inaweza kuwa Bakwata ni usalama wa ndani
2026-08-09 20:44:29
10
Bakhashwein Bahajj :
Kumbe fitna za Bakwata dhidi ya Waislamu hazikuanza leo; ni jambo ambalo limekuwepo kwa muda mrefu.
2026-08-09 22:42:01
6
kyala :
tunaelekeyawqpi
2026-08-10 07:32:35
1
allywaziry105 :
2004 had Leo,bakwata ni Ile ile
2026-08-10 06:02:56
2
zamzamlv😍😍😍 :
semausiogope Sema 🥰🥰🥰🙏
2026-08-10 05:48:44
2
user70453776157703 :
allhu akibaru
2026-08-10 03:21:47
3
Shaban Self :
inshaallah
2026-08-09 21:11:40
3
ABUU MAAHIR :
hpo penye hela sasa
2026-08-09 19:59:16
3
Johari Juma :
allah akulipe kaka uumeongea uslam hauwez move kwakushikana na serikal
2026-08-09 20:22:25
4
Othman Maimba :
mdogo mdogo tu mta tuelewa hakuna uongo wa kudumu au Dhulma.ya kudumu
2026-08-10 06:57:13
2
Rajabu hassani :
subuhanalla
2026-08-10 03:38:06
3
Adnani Mkumbwa :
Duuu kumbe kitamboo Eeeh Mtihani huu
2026-08-09 19:26:12
2
ibrahimu :
Duuu
2026-08-09 19:24:27
2
ibrahimu :
Safi sana
2026-08-09 19:25:24
2
ABUU MAAHIR :
mm nataka nijue sifa za kuchagua viongozi
2026-08-09 19:58:38
2
mdudu :
asante sana
2026-08-10 04:09:48
1
Shamilaomarisalum Omary :
subhana llah
2026-08-10 10:08:45
0
mzee samkomwa :
takibirrrrr
2026-08-10 13:28:17
1
To see more videos from user @sheikh_khalifa_khamis, please go to the Tikwm
homepage.