@al.akhi.naasir7:

Al Akhi Naasir
Al Akhi Naasir
Open In TikTok:
Region: KE
Sunday 09 August 2026 17:46:32 GMT
85111
10608
254
968

Music

Download

Comments

zayna0h
zaynah💝 :
MATHINA, MATHURATA, WARUBAA🙏🙏 ishallah mwenyezi mungu anijaalie mke mwenza mwenye moyo safi asije kufalakanisha maisha yetu ishallah 🙏
2026-08-10 07:25:06
82
zuwenaabdullakham
Shaghala kujidai :
Wanawake tukubali uke wenza na tuwe na subra kuliko mwanaume kuzini
2026-08-10 04:34:10
41
bintigambere
binti :
Jamani mi Niko na wivu ata nashindwa kulike hii video
2026-08-10 04:30:31
31
kulwa492
Hawwa 🌹🇹🇿 🇴🇲 :
Mwakani inshallaaah naenda kuolewa na mume wa mtu. Allah ampe subra bi mkubwa.
2026-08-09 18:41:07
19
merisa6526
merisa :
mm sikubali paka leo aongeze mke wa pili
2026-08-10 05:32:03
6
baby_vibegirl
v!b£_g@l♌️ :
shida tunawivuuuu jmn
2026-08-09 18:52:24
6
maashallah.tabara23
%🌹🌹Baby face%🌹🌹 :
Mimi nahitaj lkn tu nnaugonjwa wa pressure ntazimia zimia kila mara
2026-08-10 17:31:54
7
tangaraha83
🦋✨️🫧shany mishono✂️🧵🪡 :
me naomben tu niwe mke wa kwanz halafu mum wangu ndo akaongez wengine mim kiu yangu nikuw bi mkubwa tu mam mjengo 😂🤣🤣
2026-08-11 04:46:25
11
fehedi.zahoro
Fehedi Zahoro :
ma sheikh mbona nyie mna mmoja mmoja? nashindwa kuelewa
2026-08-10 04:37:19
1
ferouzmasoudriamy
Ferouz Masudi :
Wallah Shekh Said umeenyooka sana Allah akuhifadhi
2026-08-12 00:38:49
7
mkopi5
mkopi :
shekhe jmn naombeni dua tiba,kila nkitaka jambo la kuoa kwangu ni gumu
2026-08-10 04:27:23
5
ayisha34700
Ayisha :
tatizo mukisha owa mna jisahau ktk kututendea haki 😏
2026-08-12 13:16:46
1
user7717671813390
Mayra :
wala sio vibaya kuoa ila wanaume hawana elimu ya ndoa asilimia 80 hawatendi haki ni maumivu tu. Mimi nakubali mime aoe Sina shida na nina miaka 27 Sasa kwenye ndoa na ameoa mara Tano wakati nipo ila ukiniuliza natendewa haki? jibu ni hapana na Allah ni shahidi.
2026-08-10 04:36:12
10
sit.muhammed
sit Muhammed :
nikweli shehe huo ni mtihan mzito kwetu, sema t allah ndo kaweka nisheria za dini.
2026-08-09 20:06:14
6
ummy.wa.nairah
Ummy Wa Nairah :
Kuna mada mashekhe hawzizungumzii kabisa mfano kulipa mke anapokuzalia na kunyonyesha watoto wao,pesa za mwanamke kuwa zake binafsi ila hili la uke wenza aaah kila shekhe ana video inayohusu hilo 😂😂😂 Allah s.w atujaalie subra wanawake kwenye hili 🙏🙏
2026-08-11 13:12:52
4
asha9220
Ai ha xaid :
Mashallah
2026-08-10 17:08:18
1
rukshana598
Rukshana :
😂haya shehe na mm niolewe ss insha'Allah kumbe mume wngu Yuko kwa mwenyewe😁
2026-08-09 19:40:28
0
user3140472551869
Miss shaa :
hujakoseya sheh
2026-08-10 19:21:18
1
user3614273787181
Love hawaa❤️❤️ :
mashaallah unaongeza lini shehe
2026-08-09 17:59:38
5
afrat8600gmail.com
💝Mic Barua :
sijaolewa lkn mtihan ushanshinda mdogo enu
2026-08-09 19:50:24
3
kisulisuli.pekecha
kisulisuli@pekecha :
ndoa nyingi zinavunjika na za kislamu fanya research vizuri sheikh wangu.
2026-08-10 05:05:25
1
mommy.girl276
Mommy girl❤️❤️❤️ :
wanatuonea sisi wa pili mana hawatimizi haki zetu
2026-08-09 19:52:14
3
mohammedkassim995
mo 🔥 995 :
ewaa Allah anajua bwana
2026-08-12 10:08:50
1
zulfa.abas2
Zulfa Abas :
sasa mbona akiongeza wapil wa kwanza anamuacho apo imekaaje anamuacha mkew eakwanza bila sababu apo unatusaidiaj
2026-08-10 06:56:25
1
mohason03
abdulmwakubambany :
barakh Allah Kher sheikh
2026-08-10 08:15:05
2
To see more videos from user @al.akhi.naasir7, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About