and where specifically is the camera man standing? is that concerning?
2026-09-01 20:22:56
0
KAMZOZO 9 5 7 :
eshima yako MKUU
2026-08-09 18:39:42
50
Wazir :
Ushaanza uongo
2026-08-09 18:18:51
13
King of the Jungle :
Ukija tena tuelezee linatengenezwa na chemical ipi na kitu gani pamoja na ukubwa na uzito wake hata liweze kuteketeza kiasi hicho
2026-08-09 18:08:33
90
John Wizzy✨💫 :
mfano ikapiga dar je mkoa wote utafutika au 🥺
2026-08-10 06:52:32
14
Sadoth John :
Je ikiachiwa kuna namna yakuiintersept?
2026-08-09 18:32:58
7
king isack :
bro bomb 💣 la nyuklia yakiwa 100 yanalipua dunia nzima amna kiumbe anabaki
2026-08-28 09:11:03
2
krypton :
lakin yameshatumikaga 😑 hiroshima
2026-08-09 19:44:38
0
Jimmy chanser :
Swali langu ni hayo mataifa yaliotengeneza hilo bom baada ya kutengeneza washawahi kuyafanyia majaribio na kama tayar ilikuwa ni wapi na impact yake ilikuaje ???
2026-08-10 09:10:11
5
ecraman :
sounds & light linasafili km² ngapi
2026-08-11 09:42:24
0
SAMSON :
captain dupa asaiv nachukuwa degree ya pili kutoka kwako kufuatilia content zako hongera.
2026-08-09 18:07:24
7
Brigh Da Silva :
Nyuklia hatari...... wanafagia kila Aina ya kiumbe....... waulize wajapan...kuhusu Hiroshima mwaka 1945
2026-08-09 18:57:48
2
lipangala :
bomu la nyuklya sio bomu ambalo lanahalibu majengo mengi kama ulivo tuma hapana ila lana sumu kali na hali ya hewa inachafuka
2026-08-10 19:45:46
2
frider :
Robert Oppenheimer was the founder and he regretted it soo much after Hiroshima and nagasaki
2026-08-09 21:41:56
0
leshao tz :
Sasa kwanini wanayo
2026-08-12 08:38:34
0
Simbamwene :
Ajabu !! watu wanapika chakula alafu wanaogopa kula,,je kwann wasiache kupika ?
2026-08-10 08:31:37
0
Vincent Binn :
mtu mmojatu ndio don't care that's why dunia haimchokozangi uyo ni noma King jonghun
2026-08-11 11:29:18
0
stanwizz0 :
Yaan kiufup bomu la nuclear huombi hta maj😂😂
2026-08-10 12:53:09
2
kichu :
sas mm nautical wanayatengeneza kwa ability gan. maana km vitamin ndo hv wanna hawatumiii
2026-08-11 13:57:29
0
Football :
Hilo bomu lilitua mwaka 1945 Hiroshima na Nagasaki na Hadi Leo watu wanaathirika na kemikali zake
2026-08-11 08:32:27
2
Balo :
kaka inafaa uandae kipindi cha the storybook utatupata wengi sana unajua captain
2026-08-11 18:36:01
1
Dahir mohamed :
iliwahi tumika wapi duniani?
2026-08-10 04:16:42
0
risk taker 🇨🇦 :
so nuclear imetengenezwa kwajili gani kama hayatukiki kwa war?
2026-08-11 20:56:26
4
Freddy mobile store📲🍏 :
Bongo lipo kweli.??
2026-08-09 19:44:09
2
𝓐𝓫𝓫𝔂_𝓰𝓲𝓻𝓵ᥫ᭡🌟 :
Tanzania lipo au
2026-08-10 18:56:31
0
To see more videos from user @dallarzpage, please go to the Tikwm
homepage.