@livestockconnecttz: Egg candling ni hatua muhimu wakati wa kutotolesha mayai 🥚🔦🐣. Husaidia kuona maendeleo ya kiinitete na kutambua mayai ambayo hayajaendelea vizuri, ili mfugaji aweze kufanya maamuzi sahihi mapema. #EggCandling #PoultryFarming #ChickenFarming #Hatchery #PoultryTips