@djaus_djwakusini: YANGA WANACHAPWA CHUMA YA PILI , YANGA 1 - 2 LAC#yangasc #LAC #yangaday #yangabingwa💪💪🔰🔰🏆

Rdj_aus
Rdj_aus
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 09 August 2026 19:10:11 GMT
39706
1524
86
301

Music

Download

Comments

jecute07
je cute ❤️🎀🦋 :
hakuna siku niliyo furahi kama leo hakika usicheke mamba kabla huja vuka mto
2026-08-09 19:42:00
21
aizacksigili
aizack2007 :
walisema.simba haina timu wao wamepokea chuma.2
2026-08-09 19:18:22
12
mrishohamisi1
mrisho Hamisi :
2026-08-09 19:38:55
2
zulfajumanne325
Zulfa Jumanne :
ahsant sn Kwa kufungwa yanga mlitucheka Jana ww mung no mmoja tuuuu
2026-08-09 19:54:27
4
lilianraphael745
Lilian Raphael :
kama Mungu anajibu kwavitendo jamand siamin kama wanaojiita mabingwa wameifungia au naota
2026-08-09 19:52:30
3
fay_15200
Fay 🍓 :
nmefurah mnoooo 🤣🤣🤣
2026-08-09 19:57:00
1
taus0385
taus :
simba nguvu moja
2026-08-09 19:13:28
4
geophrey23
geophrey :
poleni nimeamini kweli mbinguni hukumu tu
2026-08-09 20:04:35
1
barakalosioki582
Baraka Losioki :
uwakika
2026-08-10 03:12:53
0
a.lema8
Anna lema :
Mungu n wa wote hatimaye kawaonesha😁😁😁😂
2026-08-09 20:04:01
2
user2749660812356
king mwaka :
kuliwa tu kpn
2026-08-09 19:34:27
1
fatma.habib86
Fetty💕 :
kwan kipa alikuwa nan
2026-08-09 20:21:36
0
user2478135752961
jackie :
asant sn
2026-08-09 20:28:48
0
tumba.salehe1
Tumba Salehe :
HAPA NACHEZA HIYO NYIMBO 😂
2026-08-09 20:23:50
0
user7731442701030issa
Issa man. ligunga🤣 :
da
2026-08-09 19:12:05
0
tumba.salehe1
Tumba Salehe :
DAH AISEE JAMANI 😂😂🥰😂
2026-08-09 20:23:15
0
phidesi61
Phidesi :
haha 🤣🤣 polen jmn haha bd trh 12 🤣🤣🤣🤣😂😂😂
2026-08-09 20:13:32
0
yosia_k19
Yosia_K19 :
Jamn nimefurahi adi nimezimia
2026-08-09 20:03:02
0
roisychelles
roisychelles :
Asante mungu🤐🤐🤐
2026-08-09 20:13:41
0
harleyquiin77
Empress👑Aira🌬 :
Mzungu akiingia Tanzania anaweza kuhis kuwa simba na yanga hawapendani maan syo kwa kero hiz hapa nchini😅😂
2026-08-09 20:23:41
0
clamy.baby
clamy baby :
heee tena
2026-08-09 19:14:15
0
To see more videos from user @djaus_djwakusini, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About