isha nitokea hiii kitu isee yani mtu unaona kabisa anakukosea anachati mkiwa ote na unajua kabisa anachati na mwanaume nasio kuchat tu unaona kabisa kuna kitu hakiko sawa kuliza na kumzuia asifanye vile nikajibiwa siwe kua na mtu anae lalamika kila mda niliumia ila saivi nisha sahau nikazoea na kuzoea naniliapa haitakuja kutokea nilie tena kisa mapenzi...😳
2026-08-10 07:31:20
5
kingston jamaica usariver :
anakuwa ajakupenda
2026-08-10 11:41:29
1
Deez Essence &Cosmetics :
Unalalamika nini tupo nje ya muda
2026-08-11 09:04:45
1
polhelto :
😭😭😭ni kweli ndo nakapitia muda huu nyieeee
2026-08-09 19:17:23
1
Jenty kibinga💚💚💚💛💛 :
huyo anakuwa hajakupenda bhn maana akikupenda atajitahidi kujirekebisha ilmradi usilalamike
2026-08-20 17:53:09
1
salma minja :
anakuwa hajakupenda na huu ndo ukweli
2026-08-23 10:25:25
0
Witney❤️ :
Me nimeacha kulalamika akitaka aondoke tu nisije pasuka moyo
2026-08-10 08:14:23
1
jestina :
Ssa kwanni unalalamika sana jamani😂😂😂
2026-08-10 17:59:28
0
Gift25 :
julize na ww mimi nina eik 3 sasa nimeachwa kisa kulalamikia maosa yake
2026-08-10 02:21:26
0
jolee :
wanaume.hawapendi kelele
2026-08-21 13:05:47
0
salome kayombo :
itakua hakupendi anakutafutia tu sababu
2026-08-20 16:33:09
0
choccolateskin🥰❤️🥰 :
hapana huyo alikuw hakupend tùu dear
2026-08-10 13:32:07
0
hajra mbuguni :
Ila jamani tabia ya kulalamika mimi binafsi inanikera na inanifanya nimshushe thamani mtu anaependa kulalamika
2026-08-11 16:11:01
0
black beauty ester :
ajakupenda
2026-08-20 17:50:38
0
deborahmrema :
wanaume wengi duniani huchukulia malalamiko kama kelele na sehemu yenye kelele mwanaume hakai utaachwa tu sema mara moja atabadilika kama akitaka habadiliki sema na moyo wako.
2026-08-21 08:11:26
0
Happy Macha :
me nililalamika tu kwann nakupigia cm hupokei alf unakuta nimekupigia haunipigii hapa nimeblockiwa ndugu yangu kosa lake limenirudia
2026-08-22 19:19:05
0
veeqbae🌹🥀❤ :
hakupendii huyo ulikuwa anapitia tu😏
2026-08-10 05:40:13
4
VIFAA VYA UMEME JUMLA :
hapo unajiongeza mwenyewe
2026-08-10 05:04:11
0
To see more videos from user @adh_introverts, please go to the Tikwm
homepage.