stop arguing about this nonsense sisi wote ni wa mungu dini ni za wanadamu be wise😊☺️
2026-08-10 09:05:21
3
MWAJUMA1993 :
ndacha kalibu
2026-08-10 15:34:45
0
Suleiman Ali :
why all these complications?
2026-08-10 06:23:35
0
MnaziMmojaBaZe :
Ndacha is very right
2026-08-10 07:59:50
2
M.M.M :
ndacha hayuko mbali to be a Muslim.
2026-08-10 03:12:07
109
Lost :
salute ndacha
2026-08-10 08:04:04
4
KB_COMEDIAN OG :
kwishaaaaaaa
2026-08-10 18:19:20
0
Yasmin 🍏 :
asalam alaykum jina la ndacha la badae ni Ally inshallah
2026-08-10 13:51:21
17
benjaminabrahams8 :
Ndacha acha kujitoa ufahamu, Mungu ana nafsi 3 tofauti na binadamu ana nafsi 1, Nafsi ya 2 ya Mungu ndio iliopita kwny mauti
2026-08-10 18:27:19
0
Rihanna :
Mzee yuko Sahii kabisa Aliye kufa nakufufuliwa ni Yesu kristo Nasi Mungu mwenyezi Kuna Mungu Mwenyezi Ambae Ni Yehova Muwezayote Zaburi 83:18 Alafu kuna Yesu Yohana 17:3 Acha kumchanganya Mzee Mungu mwenyezi hawezi kufa
2026-08-10 09:31:07
7
Dully Tz :
NDACHA ANAKUJA TARATIBU TU, MTAFTIENI JINA INSHAALLAH
2026-08-10 13:40:16
12
Dr. Abukhalid :
Ndacha baba ubarikiwe umeuona uongofu
2026-08-10 16:49:16
0
GRACE POWER (MINISTRIES) :
kristo hakufa aliekufa ni yesu
2026-08-10 07:35:32
6
Abu Abdul :
kutetea ukristo sio rahisi
2026-08-10 06:34:18
12
Abdulrahim Affelay :
dini 1 Mungu kila mtu na wake hatar sana
2026-08-10 15:52:01
1
Khamis Saleh :
Mungu Hawezi Kufa. Atatolewa Roho Na Nani? Mungu Ni Mmoja Tu, Ambae Ametuma Mitume Mbali Mbali Kwa Kila Kaumu, Na Kwa Kaumu Hii, MTUME Wake Ni Muhammad Swalallahu Alayhi Wasallam.
2026-08-10 06:41:53
15
user5489999807401 :
alafu Mungu hakufa alienda kuzimu kuzihubiria roho
2026-08-10 15:09:53
1
omar gbaba :
yohana 14,28 naenda kwa baba yangu nae ni baba yenu,kwa maana baba ni mkuu kuliko mimi
2026-08-10 06:37:45
14
majaliwa mchomola :
ndacha karibu ktk dini ya haki,,,
2026-08-10 06:15:54
9
♡...|...♡ :
theology haijawahi acha mtu salama,kwenye bible hakuna nafsi tatu wala utatu mtakatifu.
2026-08-10 09:25:16
6
king irifan :
ndachaaaaaa
2026-08-10 09:45:38
1
Hussein Ibrahim :
Ndacha Bibilia anaijua tatizo hana mafunuo ya Roho Mtakatifu...udini ndio unamfungia kupokea mafunuo ya Roho Mtakatifu.
2026-08-10 06:07:49
4
12345678 :
ndacha wafahamishe hao
2026-08-10 09:25:52
4
10 G :
Nashindwa kuelewa 😃😄😁😆
2026-08-10 09:20:32
3
@facean#..!💥 :
waislam tujuane
2026-08-10 09:47:09
3
To see more videos from user @kusanyiko, please go to the Tikwm
homepage.