@sportland_tz:

SPORTLAND FOOTBALL
SPORTLAND FOOTBALL
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 09 August 2026 19:41:08 GMT
38891
4260
401
26

Music

Download

Comments

user8142197381679
offline :
imagine...🤣🤣
2026-08-09 20:32:41
0
user7274548659806b
💋baby Eliana ❤️🇹🇿 :
sas unacheka nin yani ingekuwa ni simba mngekula nyingi sana kwa ile timu
2026-08-09 19:48:18
23
user2355699145852
Stella :
aise tucheke wote hahahah😂🤣🤣🤣🤣
2026-08-09 20:24:30
0
yuzh308
Yuzh :
Tulio cheka pamoja na uyu jamaa tujuane 😂😂
2026-08-09 20:28:13
47
ysher_outfits
Isher❣️🦋🦂 :
sawa tumefungwa ila tumefungwa na Nani na nyie mmefungwa na nani
2026-08-09 19:45:25
51
officialmilly_tz
THE GODS SON💪 :
mpira mzuri sanaa Leo na ni kipimo kizur siwezi linganisha kabisa na match ya Jana maana ilikuwa imepoa sanaaa
2026-08-09 19:44:40
15
nasra.juma78
Nasra juma :
🤣🤣🤣 nachoka mimi na Gori lao la penati bila hivyo ingekuwa 2-0 jamani kama unasema tarehe 12/8/tunawashenyenta yanga like apa 🤣🤣
2026-08-09 19:48:19
17
choosen402
choosen👮🏻💕 :
an we hujafrah kama mm🥰kabisa nakwambiaaa
2026-08-09 22:27:57
3
usereuny5
Eunike :
nilikuwa nasubiri sana hii post😅😅😅
2026-08-09 19:43:44
28
___brien_kenzo
Realkenzy :
wamefungwa kwenye siku zao na wao😂😂😂
2026-08-09 20:03:49
14
26babilone
De_lastborne🗿 :
uzuri B3 imefunga😂😂😂
2026-08-09 19:49:44
2
ndassvijora
Ndass ndass :
bora simba kuliko 1-2
2026-08-09 19:49:35
7
maggi_e7
Lena🦋 :
Basi kweny status walivo jiandikishaa shalulileeeee nikajua kafunga kawaida kumbe ni penati😭
2026-08-09 20:29:26
4
amiry.juma7
amiry juma✍️✍️ :
🤣🤣🤣
2026-08-09 19:43:40
2
mirymah2
flowers luxury wig :
wamenifurahisha sana 🤣🤣🤣
2026-08-09 19:53:52
1
iamcuppaccinopapy
Am PAPY 🌟 :
MASHABIKI WOTE WA YANGA TUTAKO TWENU 😂😂
2026-08-09 20:02:26
2
shomary.rashid
KlNGAZ🛑 :
Et yanga bingwa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 mwakan tena. ila tamasha
2026-08-09 20:03:13
2
ysher_outfits
Isher❣️🦋🦂 :
nyie jipozeni kwamba mnajilinganisha na yanga 🤣
2026-08-09 19:51:19
3
captain.ilocs
Captain.ilocs :
🤣🤣🤣 nimecheka mpaka bando likakata
2026-08-09 20:09:53
1
paskariafedrick
ps HD :
alitanguliza maneno sana
2026-08-09 19:46:24
3
zombieog5
zombie og :
tuache yote me namsubili uyo mtoto najua mungu akipenda ntamuwahi maan apa nna miaka 22 tu😅😅😅
2026-08-09 19:52:25
3
faisal_faudh
faisal_faudh :
Yanga tunafurahisha kama sio ndugu zenyuu 😂
2026-08-09 19:44:43
3
user9534759236752
merry Lukas :
mimi kama mwana yanga sjaumuia kbs jmn uwongo zambi😂
2026-08-09 19:59:08
1
jacobfasha
Emperor👑👑 :
yan yanga matapeli walikuwa washaanza kunifanya niwachukie viongoz wa simba kumbe nawao niwalewale
2026-08-09 20:34:51
1
To see more videos from user @sportland_tz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About