mwanzo mzuri una define timu ipoje.congrats boys same power an unity trh 12
2026-08-09 20:07:15
3
yumnah khalifani :
🤣@mmmmmh
2026-08-09 20:50:05
0
agness :
Mimi ni simba ila yanga wamecheza vzr tofauti na sisi jana japo wamepoteza ila mpira umeonekana vzr
2026-08-09 20:01:38
53
Lizzy ❤️ :
Kikubwa wachezaji tunao na tunatamba nao
2026-08-09 20:01:58
19
Eli :
Sisi YANGA tumepata kipimooo kamiliii Cha kujipimaa ko tukutaneee tareh 12 YANGA BINGWA 💚💚💛💛💛
2026-08-09 20:13:42
15
adamjuma :
remix itoke sasa wamefirwaaa
2026-08-09 20:07:52
2
profone stationery ❤️ :
Kikubwa hatujaenda chaka hatuna osmen kwenye timu yetu kiwango cha kila mchezaji kimekaa vizuri sana kilicho Baki ni kocha kuandaa kikosi bora gonga like hapa simba mtaacha ndala tarehe 12🤣🤣
2026-08-09 20:07:23
7
mzee nyan :
Simba hawatuwezi mana pamoja na kuwa tumefungwa lakini tuna mvukali ya mpila
diara asichoke jamani mung amsaidie simb vidond vya jana vimetibiwa na timu nyingine
2026-08-09 20:34:50
0
annakaroli483 :
ni fireee
2026-08-09 19:59:41
0
Albert Werema :
mlitaka tucheze mpaka tupate majeruhi ama tuvunjike ndo muamini kama Yanga ina kikosi kizuri me najua Yanga imecheza vizuri na wachezaji ni wazuri makosa ni sehem ya mwenye safari ndefu 💚💚💚
2026-08-09 20:37:11
0
EZRA ELECTRICAL :
✌️✌️✌️yanga ya moto
2026-08-09 19:58:43
1
plasmoh..@23 :
Penati day
2026-08-09 20:40:24
0
jofrey847 :
kiko wapi?
2026-08-09 22:18:34
0
melania :
safiii
2026-08-09 21:38:17
0
Kefrine Fumbo :
🤣🤣🤣🤣🤣 sina neno mungu ni wema sana 🤣🤣🤣🤣🤣
2026-08-09 21:08:03
0
anily david :
tunao amin hh nyimbo ni kwaajili ya wana simba like hapa
2026-08-09 23:08:18
0
To see more videos from user @lilymediaa, please go to the Tikwm
homepage.