safi ubarikiw nilikuwa sinywi maji sasa nakunyw😂😂😅😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-08-09 20:35:46
5
Ney Makyara :
Ninafurahaaa sanaaa leo jmn ,,Aibu wataona wao
2026-08-09 21:28:05
1
Joyce Willson :
❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️simba nguvu mojaaaa kwakwel usinene kabla 😂😂😂😂 jaman ad lahaaaaaaa
2026-08-09 21:35:38
2
lizzybe125 :
waambie kipenz walifikiri vina mudaaaa
2026-08-09 20:38:32
2
Mrs.... ommy :
😂😂😂 tunazika au tunasafisha😂😂😂
2026-08-09 20:26:46
2
samweri :
poa murebo wakae kimy kabisa
2026-08-09 20:38:14
0
Nyaki Nyaki :
😂😂😂😂😂 uhakik
2026-08-09 20:44:52
0
🥰🥰 cute :
umbea huooo nyani atuchekan mikiaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-08-09 20:18:50
0
Jeniffer Barnaba :
tukutane tarehe 12 nikunyoe nywele izo
2026-08-09 21:08:12
0
anily david :
amna lolote wake zetu tuu nyie simba amtuwez yanga yetuu ila kumbukeni nyie ni 1 bila majibu alafu yanga bingwa 2 kwa jibu 💚💚💚💚💚💚💚yanga bingwa like hapa
2026-08-09 22:25:16
0
Vanessa malile :
woteee kimya imekuaaaa
2026-08-09 20:26:35
0
Laiza Kikoisi :
kunywa soda dada Jana wametucheka 😁😁
2026-08-09 20:20:32
0
Steve :
wambie kipezi jana alini uzi san😂😂😂
2026-08-09 20:35:17
0
annalisa204 :
yani rahaa ya simba ndo hio tunatamba tu🤣🤣🤣
2026-08-09 21:26:46
0
user20121633849374 :
jana walitucheka sana Leo Wana msiba 🤣🤣🤣
2026-08-09 20:49:14
1
Ashfa baby :
tena washukuru kupata iyo penat leo wasinge funga kabsa furaha kwetu wana 🦁💪
2026-08-09 21:12:49
1
Jema :
Wengine wanaandaa timu wao wanajifunza kutamka jina la kocha inauma😂😂😂😂
2026-08-09 21:04:33
1
To see more videos from user @gracesimba8, please go to the Tikwm
homepage.