@omig.omig: vibe la igle noir baada ya kuwafunga yanga chuma mbili Aigles du Congo wamefurahi sana baada ya kuwanyoa Yanga Sc mabao 2-1TON TALASI ANAWEKA CHUMA YA PILI BORA HATA SIMBA JANA SHUGHULII ILIKUWA NZURI ILA MECHI MBAYA LEO UTOPOLO KILA KITU KIBAYAAA😅😅😅😅😅😅 #yangasc #SimbaDay #yangaday #simbanguvumoja #shalulile
Omig Omig
Region: TZ
Sunday 09 August 2026 20:16:14 GMT
Music
Download
Comments
klotildakiwuyo :
kumbe mmevaa simba ndio maana .mna roho nzuri sanaas
2026-08-09 21:51:55
10
Bakar Saleh :
2026-08-10 02:32:46
2
precious ❤️❤️🌹 :
mashemeji zangu hawana baya niinjilii tuu
2026-08-10 04:12:12
1
Dhia brown :
wameyataka wenyewe
2026-08-09 21:19:06
1
bertha :
Mbona kama nimeskia simba😆😆😆😆
2026-08-10 07:17:22
0
princess..ruu🦋 :
😂😂😂😂😂😂
2026-08-10 03:27:46
0
Musa :
Nasikia kama wanaimba hivi SIMBA WAMESALA au masikio yangu mabovu
2026-08-10 05:47:24
0
kng. nyamogo7 :
2026-08-09 23:00:43
0
chidy359 :
2026-08-09 20:47:39
0
user7605178127569 :
hizo jezi tu mim nishakuwa shabiki yenu🤣🤣
2026-08-10 03:52:45
0
fantana❤️ :
❤️❤️
2026-08-09 22:31:46
0
klotildakiwuyo :
mmetuheshimisha sanaaa.
2026-08-09 21:51:11
2
denas :
au walilipwa na simba kuaribu shughuli ya watuui
2026-08-10 08:31:57
0
Michgang :
🤣🤣🤣🤣wamejua kutu heshimisha wana simba me nikajua wana simba kumbe wageni kutoka ugiliki ya Congo 🇨🇩 😂😂😂😂😂mungu awatangulie mfike salama
2026-08-09 22:20:04
2
K@rim m@ster☠️☠️ :
mkitoka apo njooni mchukue nauli sababu mmeijua kutueshimisha😆😆😆😆
2026-08-10 03:06:27
0
Da zai :
kaiyo shuguli yao😂😂😂😂😂
2026-08-10 04:51:38
0
Veronica Mabuba :
Siku nyingine hampati mwaliko, acheni kukamia kwenye siku za watu!,
2026-08-10 06:02:33
0
Mdogwa Ogy :
unais awajiwezi mpk wangoje naur yk
2026-08-10 00:49:32
0
sojawabrazili :
reo awapewi nauli awa
2026-08-09 21:49:32
0
To see more videos from user @omig.omig, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.