NINAKATAA TANZANIA SIO NCHI MASIKINI DUNIANI, BALI BAADHI YA VIONGOZI WETU SIO WAZALENDO,HAWANA HURUMA NA WANANCHI WAO, NI WENYE TAMAA WANAJILUNDIKIA MALI WAKO KAMA PANYA HAWATOSHEKI, TANZANIA IMEBARIKIWA SANA,LAKINI VIJANA HAWANA AJIRA.
2026-08-09 21:05:16
4
Samtom :
Big mind
2026-08-10 05:38:35
1
MR.X :
Kaka Tanzania si Taifa Masikini bali Lina Viongozi wenye Maono ya Kimasikini...
2026-08-10 18:43:29
2
Vin_Joh :
Sema ww kaka wengine hazitutoshi!! Tunachuki tumenunuliwa!!! 😂
ccm na serikali yake wanatuchezea sana akili watanzania
2026-08-10 09:21:36
0
Thom_Kivuyo :
1. Gharama za uzinduzi wa tume za kishenzi 😳
2. Sherehe za kumbukizi wa viongozi
3. Gharama za uteuzi na utenguzi
2026-08-10 07:33:02
5
Selina Shayo :
Yaan mwenge , magar ya viongozi na bunge woih ndio vinatutafuna mpka basi
2026-08-10 16:19:28
2
samir :
yaan sis watanzania sijui nin kimetushika kuamka
2026-08-09 20:53:39
1
user8154304797714 :
kaka balabalan mbovu hatali maandaz yakutosha pesa nyingi zinapotea Kwa ufisad
2026-08-10 05:38:29
1
Raphael Jackson345 :
Too bad💔
2026-08-10 09:09:19
0
Goldenlove 🇹🇿 🇺🇸 :
Jmn kwani humjui bajeti ya Hizo sherehe zote kwamba pesa yake ni ya baadhi ya watu wachache ? Yaani hio billions of money kwenda sijui sherehe za sabasaba au nanenane, mwenge nk (3/4 ya pesa hizo inaenda mifukoni mwa hao walio panga hizo sherehe ) so kiufupi WANAIBA kupitia majina ya hizo sherehe zooote.
2026-08-10 12:39:28
0
user7463278123571 :
Gharama za kuendesha makesi
2026-08-10 03:26:42
1
user7463278123571 :
Gharama za kupamba maofisi
2026-08-10 03:27:17
1
johnsonkusaya :
inahuzunisha Sana
2026-08-10 05:42:12
0
hammer :
kaka hawapendi ukiongea hivi
2026-08-10 07:16:37
1
Maria Amour 💞💞 :
Gharama za kuwalipa mamluki kumchafua heche, gharama za utekaji na upotezaji wa wakosoaji wa serikali,
2026-08-14 07:39:49
0
Huseni Kidava :
unafananisha na china baada ya kufananisha na angola
2026-08-10 05:51:19
0
NatureIsBeautiful💧🌌✨☀️🌙 :
Haya ndo mambo ccm +watawala wake hawako tyr kuusikia wala kuelewa 🇹🇿 😭
2026-08-15 14:27:40
0
mathayo thomas :
Gharama za goli la mama
2026-08-09 21:17:27
4
አልሀምዱሊላህ አለኩልሀል 💚💛❤️ :
alafuwanasema Vijaya wanalishwa dumu wakati sumuwanapika wao nakuwanywesha inashangaza wallah
2026-08-10 04:59:29
2
To see more videos from user @edutalktz, please go to the Tikwm
homepage.