Language
English
عربي
Tiếng Việt
русский
français
español
日本語
한글
Deutsch
हिन्दी
简体中文
繁體中文
API
Home
How To Use
Language
English
عربي
Tiếng Việt
русский
français
español
日本語
한글
Deutsch
हिन्दी
简体中文
繁體中文
Home
Detail
@walterhabari: TAHARUKI DAREDA,MTOTO MCHANGA APOTEA WODINI KITUO CHA AFYA DAREDA KATI. #walterhabariupdate
WALTER HABARI
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 09 August 2026 20:40:58 GMT
27202
1044
82
66
Music
Download
No Watermark .mp4 (
7.19MB
)
No Watermark(HD) .mp4 (
7.19MB
)
Watermark .mp4 (
18.25MB
)
Music .mp3
Comments
Mrs Mahmoud❤️🔐✨️ :
mmmmh😳 jamn
2026-08-10 10:44:39
0
BLESSING💎 :
laaloa
2026-08-10 01:06:24
0
Neema💞✨💥 :
pole sana, daaaah inauma sana 😭
2026-08-10 15:22:27
1
🇹🇿 :
mlinzi akamatwe na hao madokt wakamatwe woty hiyo ishu watakuwa wanajuw sanaa
2026-08-10 04:44:12
9
phinaa yustin :
ni uchungu sana jmn
2026-08-10 17:47:34
1
Momly :
Mpaka anafanya yote hayo dr na ma ness wa hiyo hospital wapo wap? Mtu mpaka anajiamin hivyo
2026-08-10 04:29:00
8
A woman of God :
yaani mimi nilijifungua nilikuwa napakata mtoto wangu naenda nae chooni
2026-08-10 06:12:17
2
Stella michael :
nes wazam n daktar wanausikaaa
2026-08-10 07:40:50
2
eggle man :
we unapeanaje mtoto aseeee unapeanaje mtotoo
2026-08-10 04:31:51
2
Amani :
jamani Mungu mrudishie huyu mama mwanae
2026-08-10 05:16:57
2
madam_dijjah :
ila watu wabaya mtoto ana siku moja atapewa nn asurvive
2026-08-10 15:53:24
0
Rayshark :
Naanzaje kupeana mtoto wangu aende peke yake, huo ni uzembe wa hali ya juu
2026-08-10 17:58:06
0
Fausta Amedeus :
Jamani mbona Hata hautoi choz
2026-08-10 12:28:47
0
use_usename :
Mtu anatokaje na mtoto mchanga getini bila mlinzi kukagua discharge form???
2026-08-10 05:24:00
2
blessings :
lakini ukitoka nje ya hospitali na mtoto lazima uonyeshe karatasi ya ruhusa.hapo mlangoni kwa ward kunakuwa na ness lazima acomfirm ukitoka,
2026-08-10 06:47:08
0
nice one@❤️ :
mahosptalini wafunge camera
2026-08-10 05:13:17
2
Divinemidwife :
pole. MUNGU anakutetea utashinda na mtoto atapatikana salama kabisa, ombi na kilio changu Kwa MUNGU.
2026-08-09 22:13:20
2
TWIN BOYS💥💥😎😎 :
Kwani kamera amna apo mumfatilie
2026-08-10 04:32:48
1
elizabethmasawe52 :
Mungu wangu, mtete huyu mama ampate mtoto wake
2026-08-09 21:55:16
1
Beauty Nitha :
doct na nesi wanajua kitu.
2026-08-10 14:11:01
0
Jasmine :
ila hao walioenda hapo wanayajua mazingira ya hapo vzr🥺🥺
2026-08-10 17:13:39
0
gift pendaely pendaely :
Yesu yesu yesu mkumbuke huyu mama mpe nguvu kipindi hiki kigumu cha kumpoeza mwanae ,msaidie Bwana ampate .
2026-08-10 19:43:24
0
Fredy Makala :
kwann ospitalin hamfungagi kamera
2026-08-10 20:27:50
0
Lenze :
Daaa! Uzembe mkubwa sana, pole sana kipenzi 😭😭😭😭
2026-08-10 14:50:19
0
user3639491774316 :
pole
2026-08-09 21:19:43
0
To see more videos from user @walterhabari, please go to the Tikwm homepage.
Other Videos
06 Logiciels #ordinateur #astuce #ssd #pc
JADIKAN NADA DERING📲 #nadadering #ringtone #notifikasi #auraringtone #soundviral
@Kai Cenat #streameruniversity
why should women and little girls and minors cover up just because men can’t control themselves?? #exmuslim #islam #misogyny #womensrights
If your PC feels slow, do THIS immediately 😳 #windows #pc #TechTips #windows11 #fyp
About
Robot
API
Legal
Privacy Policy