@moudisetv_tz: Bodaboda anadai kumbeba askari huyu na kumzungusha kila alipohitaji lakini mwisho wa siku baada ya kumdai nauli ndipo mzozo ulipoanzia ambapo kijana huyo kama anavyosikika kwenye video akidai askari huyo alimng'ata kidole ndipo na yeye akaamua kuchukua uamuzi na kumpiga ngumi askari ili amuachie. Taarifa zaidi zitakujia juu ya tukio hili. #moudisetv #moudisetvupdates #millardayoupdates #ayotv #millardayo
🥹🥹🥹🥹so sad anaye mjuwa huyu kaka naomba namba zake nimlipe mimi.
2026-08-10 04:43:00
20
umukhan♥️ :
Kifupi siwapend police😏😏
2026-08-10 05:29:58
1
Lizzy lovee :
siwapendi mapolis mim jamani😏
2026-08-10 04:05:29
24
baba khairat :
hawa jamaa badala kutafuta urafik na bodaboda wanatafta uadui,hawajui kama kuna maisha baada ya kustafu
2026-08-10 04:34:15
27
💎 mswahili💀☠️ :
shida askari Wana njaa
2026-08-10 06:09:14
9
ashlee_.36 :
mimi najiuliza kama huyo police alichukuwa usafari wa boda boda na wamekubalia kulipa kwanini asingemlipa pesa zake tu mpaka wakafikishiana huko kwenye kudhalilishana hivo busara lazima zitumike kwa kila mtu.
2026-08-10 07:10:53
1
fuull bokasa :
hivi police mnamaisha Gani mbona mnajizalilisha
2026-08-10 06:54:17
1
Tunu :
kaka umeniliza kama mwanangu pole kaka
2026-08-10 05:58:03
6
Ma,photnata💞 :
Ilaaaa jmn 😭😭😭😭🙌
2026-08-10 05:51:45
3
@niphergirl :
duh inauma sana hii sio haki
2026-08-10 05:20:53
9
Joemaster :
Tuna ishi nchi yetu kama watumwa
2026-08-10 06:57:11
1
Isaac Guyashi :
MSIGWA ATASEMA NI AI😂😂😂
2026-08-10 05:40:34
4
Abdallah Mbega 🙏🙏 :
kuna shda gni?
2026-08-10 05:53:59
1
agsoldier 💥💯🇹🇿TZ :
pole ndugu
2026-08-10 05:43:47
1
Juma jmb :
serikari yenyewe wanasemaje kuhusu hili jambo au hawajaiona hii
2026-08-10 05:31:15
3
Benny...199 :
polisi baada ya kuombwa nauli
2026-08-10 05:10:51
1
ndele boy🦺 🇹🇯🚛🚛🚛 :
mi ningependekeze askali wasiwepo barabarani selikali ingeteua idala nyingine yakutusimamia TUnapata SHIDA sana inamana viongozi wa juu hawalioni hili sisis madeleva tunapitia mengi na Hawa jamaa
2026-08-10 05:23:15
1
Salma Ramadhani :
serikali hii mume iyona ichukulieni hatua huu unyanyasi wa raiya musijifanye hamja iyona
2026-08-10 05:45:38
1
Khalfan Hemed :
mapolsi wa watanzania ni wa ovyo sana
2026-08-10 04:45:11
7
Grace Charles :
mnatumiya uaskali wenu vibaya kunyanyasa watu
2026-08-10 04:39:52
5
Msela JOKA°🥷 :
Kama mi sikubali
2026-08-10 05:57:40
1
lucycollection🤑 :
ilaa
2026-08-10 05:43:30
1
witness uisso :
ndo maana siwapendi polisi
2026-08-10 05:08:23
4
Kigoda international :
Tukisema Askari wanamaisha magumu muelewe yaan 35,000 tu inamtoa jasho aisee aibu hii
2026-08-10 06:06:05
5
martine :
duh
2026-08-10 04:23:17
2
To see more videos from user @moudisetv_tz, please go to the Tikwm
homepage.