@swahilimotivation1: #creatorsearchinsights #motivationalvideo #swahilimotivation1 #capcut

Sauti ya Mafanikioo.....✍️✍️
Sauti ya Mafanikioo.....✍️✍️
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 09 August 2026 21:22:16 GMT
47812
2268
101
363

Music

Download

Comments

handsofyasmi
yasmi :
eti kateleza
2026-09-10 13:57:05
0
lizzy.bby392
Lizzy bby :
mtu anaweza kujirekebisha na asiweze kurudia Tena akajutia alichokifanya kwahyo msiwe mnadanganya watu nyinyi ndo mnafanya watu anachukiwa maisha yao yote.
2026-08-10 08:19:10
21
happpy7829
happpy :
BAs bwana amenisaliti wamepata na mtt lakini kaniambia ilikua bahat mbaya
2026-08-10 16:16:31
5
jenipha2068
Jenipha :
Jifunze kusamehe kwenye kusamehe kuna maisha mapya,Utaachana na wangap? Babuuu 😏
2026-08-17 22:51:55
5
arasaa055
arasaa :
ivi kwann mwanaume anakusaliti afu anasema mi sijui kwann imetokea ivi
2026-08-11 16:04:29
3
lizzy.batiki.nang
Lizzy batiki nangai :
nasisitiza jamani ukisalitiwa sio bahati mbaya jamani
2026-08-11 11:32:10
7
nuruelobed
Nuruel Obed :
😭😭sehemu ya voice note ikowap maana kutype sitoweza😭😭
2026-08-11 06:50:56
2
nadiachite
nadya_🌹🌹 :
kila mtu ni msalit sasa tukae single
2026-08-11 17:46:18
2
tatu.aden
Tatu Aden :
Sasaivi wakitusaliti na sisi tunawasaliti wala hatuwezi kusamehe
2026-08-12 11:40:52
8
sophiageorge190
sophiageorgeuhahu :
Unamsamehe mtu mala ya kwanza anarudia tena, anarudia tena mala ya tatu, mtu kama huyu unamuweka kundi gani.
2026-08-11 18:46:57
0
user5291961626155
rosemary :
kwer kbisaa
2026-08-10 02:49:23
3
apple.user58449245
Apple User584492 :
Mtanichanganya ngoja kwanza mwanangu akuwe kulelewa na mama wakambo ni kazi 😔😔
2026-08-20 20:30:25
2
angelbeaut10
Pretty Angel🕊️🌸🦋🌺 :
Kwakwel 🥺
2026-08-12 17:11:39
1
rahmangoi
Rahmangoi🧚🏽‍♂️🎶 :
Mm nilisalitiwa mara kwa mara na bado nilisamehe lkn haitosha bado walinisaliti mpka sasa wameoan inafurahishaa jmn🤣🤣🤣🤣
2026-08-10 22:18:30
0
amiel8793
Amiel :
ce vrai vraiment
2026-08-10 07:08:07
2
neyshad02
neyshad02 :
Je na wale wa kulipiza kisasi unawashaur vp
2026-08-19 19:58:59
1
user4778188802405
aggy :
alinsalt nkamwmby akanipiga hatar
2026-08-10 15:46:13
2
shomaisack
Shoma Isack :
inategemea amenisaliti kwa aina gani😁😅
2026-08-10 12:10:13
1
irene.theequeen
peachren ⭐⭐☺️ :
usiseme hv nimemsaliti mtu na najuta had leo akinipa last chance cwez rudia tena nampenda😭😭😭😭
2026-08-20 18:53:09
1
hariminshijoselyn
hariminshijoselyn :
asante
2026-08-10 15:38:29
1
focas_salvatory
Orionyrepublic/Benediction :
Makofiiiii 👏👏👏
2026-08-09 21:26:39
1
idifonsi.kipwagi
Idifonsi Kipwagi :
Asante
2026-08-09 23:47:17
1
samie3618
🥰samie🌹 :
sahihi kbs
2026-08-26 07:22:55
0
witne264
witnes🫰🌹 :
sasa mienifanye Nini kanizalisha watoto2 mtoto wangu wakwanza anamika4 wapili miezi3 nanimewapata kwa opaleshen kipindi nlivo kuwa mjamzito nikagundua amebadilika sana mbaka sasa nimegudua yupona mwana mke mwingine tena amempa nafasi kubwa sana kiasicha kwamba yulemchepuko unajua mambo yangu ambayo sizani atamwambia kamwambia umli wangu elim yangu kabila langu kiufupi ananijua vizuli nimeacha kazi sababu ipo kwenye uzazi Sina chakufanya nitaenda wapi nahawa watoto kiukweli nimechoka sana 😭😭
2026-08-25 20:35:34
0
habibty6861
habibty :
very true
2026-09-04 20:31:13
0
To see more videos from user @swahilimotivation1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About