@sophiagabby92: "Unikumbushe nami nitakupa haki yako... Isaya 43:26 Bwana yesu asifiwe , Unapokua umeombea jambo kwenye mipango yako ya maisha na kumtanguliza Mungu kuna muda majibu yana chelewa tunakata tamaa but God anatuambia kuwa tumkumbushe ili kila mmoja wetu apate haki yake Hatua kwa hatua mpaka kieleweke🙏🏽