@bongo24_: follow bongo 24

Bongo 24
Bongo 24
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 09 August 2026 23:54:42 GMT
52869
1350
62
223

Music

Download

Comments

renees068
Renee's❤ :
we nijaribu nichanganyikiwe😂😂😂
2026-08-10 06:53:54
14
selestinibrahim
selestin Ibrahim :
ngoja nikajaribu nisubiri hapohapo nakurudia shekhe
2026-08-10 07:04:19
6
paul_tr
Paul_Tr🙏🙏 :
sitorudia tena😭😭 si nimafanya hivo sheikh ulivyosema daaa😭😭😭
2026-08-10 08:11:50
1
nifalove4
it's nifa 🦋 :
naomba mtu ajalibu anipe feedback
2026-08-10 06:55:39
6
talktome_tz
Talk to Me Network 🛜 :
mimi nime jaribu😂😂😂😂 sio kweli huoni lolote unaona kama kawaida tu
2026-08-10 07:14:40
5
cutekidoti3
cute- kidoti🔥 :
nijaribu Wajue nawaona wanifate🤣
2026-08-10 07:09:04
5
user51925829708831
yanga arsenal :
Kuna Mzee aliniambia hata magomen sokon hatar
2026-08-10 07:12:50
2
bajaji_point
bajaji_point :
mboni sioni kitu Shekhe wang😂😂😂
2026-08-10 00:54:59
6
aymanmhewa
mhewaayman@☆☆☆ :
ivi shehke ili aonekane shekhe kamili lazima aoneshe sifa au utaalamu wa kuzungummzia majini mtumishi wa Mungu anatumia 99% ya mdawake mtandaoni kuzungumzia majini yaani imekuwa mashindano shekhe yupi analeta stori zaid za majini bora zaidi ivi ni lini watatambua kuwa ni vema kumzungumzia Mungu ni bora kuliko kuyabrand majini
2026-08-10 02:34:40
6
pendommarekani
pendo :
nani yuko tayari twende 🤣
2026-08-10 07:55:56
0
raphaelcontruction
RAPHAEL .CONSTRUCTION :
balaa k,koo noma
2026-08-10 08:13:48
0
fashionkiller600
beauty of Rwandwa🇷🇼💃🏼❤️ :
nitajaribu😳😂😂
2026-08-10 08:06:27
0
mariethamsuha910
marietha msuha :
sitaki presha mm waache
2026-08-10 08:07:02
0
abduli.mpeli
CHIKO USHINDI :
ni kweli
2026-08-10 08:12:30
0
mehmetaahmet
Mehmet AHMET :
naomba namba zako.za cm.mdogowangu
2026-08-10 06:18:28
1
rashmii1203
Rashmii :
Jamani ni kweli kuna duka Nili ingia Yani weee acha2
2026-08-10 08:00:42
0
kimney128
kimney128 :
jamani Kariako ni ukweli 2023niliendea mzigo wa Rasta Kariako sasa nilikuwa nimebana nywele nikawa nimeona duka la dawa za nywele nikasema nikaulizie bei wakati nipo hapo akaja dada mzuri akaniambia karibu kusuka nikamwambia hapana sasa akili ikaniambia mwanagalie miguuni si nikaangalia nikakutana na kwato za mbuzi kurudi kumuangalia usoni kapotea simuoni tena nilitoka pale nikapanda bajaji huyo nikarudi nyumbani 🤣 oyoooo sitokanisahau Jamani
2026-08-10 08:07:03
0
leondeboss4
Leonard Malogo :
ukishawaona hawawezi kuhisi kuwa umewaona? na je usalama wako utakuwaje?
2026-08-10 03:07:52
0
asha.salimu97
Asha Salimu :
sintajikut nakimbia wat wanishangae 😂😂
2026-08-10 07:38:58
0
lilian.moshi8
Lilian Moshi :
ni kweli kabisa nilisha shuhudia
2026-08-10 08:15:02
0
bablly85
Bablly :
samhan ostadh jee wao wakijuwa kam huy binadam ametuwon hawachukuw hatuw mbay
2026-08-10 08:15:38
0
user5502435491343
ELISHA🤏🇹🇿 :
tulio jalibu tujuwane kwa maoni
2026-08-10 07:29:53
0
user8831711369503
Rashid Mussa :
kweli jamani mi nimeona lakini kama hunaloho usifanye mana siwezi kuhadisia
2026-08-10 07:46:47
0
queenrah455
Queen Rah :
sana
2026-08-10 06:26:19
0
To see more videos from user @bongo24_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About