@gwajimanization_: HAKUNA MTU ALIYETAJIRIKA KWA KUAJIRIWA HATA KAMA UNGEKUWA UNALIPWA MIL LIONI 30 KWA MWEZI 🎙️ Tembelea website kupata mahubiri ya Askofu Josephat Gwajima 👇 https://gwajimaphd-crypto.github.io/gwajimanization/

GWAJIMANIZATION
GWAJIMANIZATION
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 10 August 2026 07:00:00 GMT
36135
2991
49
100

Music

Download

Comments

laisonifweni4
laywizzy fashion :
very true
2026-08-10 07:11:23
2
shiah88
༄✿𝗦𝗚𝗠𝗙𝗮𝘃𝗼𝘂𝗿𝗲𝗱✿༆🧿✝️ :
AMEN FATHER 🙏
2026-08-10 07:40:57
1
777faustine
molel finerst 777 :
kina Ronaldo je c waliajiriwa na saiv ni matajiri
2026-08-10 08:43:35
8
user1878596232138
jackline :
🥰🥰ni kwerii baba
2026-08-10 09:30:11
1
user6250105109312
KING ABuU MWARABU 47 :
amen mtumishi
2026-08-10 10:08:39
1
elly.damarco6
Elly nization :
Tatizo mawazo yetu yamefungwa hatuoni mbele 😁😁
2026-08-10 08:55:41
4
lustre.gems
Lustre Gems :
na ndo wanao kuletea sadaka humo
2026-08-10 10:38:13
1
user61600298279
lupimojr :
ni kweli kabisa
2026-08-10 09:53:53
1
ahmadmbugu
ahmadmbugu🇹🇿 :
fact kabis masikin tunalala vizur sana
2026-08-10 08:27:22
1
imxthboy
imxthboy :
Elimu dunia
2026-08-10 08:56:09
2
mussafaida0
mussafaida0 :
tofautisha kat ya ajila ya ujuzi na ajila za kuajiliwa kina lonado hajaajilowa ni ujuzi unawalipa bloo
2026-08-10 10:03:35
1
leonard.isack
leonardisack58 :
Uhakika dady
2026-08-10 09:11:25
1
jamesmagambo0
James Magambo937 :
noma sana
2026-08-10 09:20:57
1
thobiasjems
thobiasjems :
sawa jasusi nimekuelewa
2026-08-10 10:13:36
1
simnrepublic
Simn"Republic :
kweli kabisa
2026-08-10 07:07:09
1
mariam.lumenyera
Mariam Lumenyera :
mm milioni therathini alafu nisiwe tajili mm apo naomba niulize tajili ni kumiliki nini.
2026-08-10 09:17:41
2
mjombaabuuuser938187173
mjomb abuu :
kabis
2026-08-10 07:11:29
1
kabuleisaya
2026-08-10 07:05:13
0
lustre.gems
Lustre Gems :
napinga, unaweza kutajilika. kama nina lipa milioni mbili constant kwa mwezi. kutoa matumizi yangu yote inabaki 1M. haina kazi. haraf mwengine aejiajili, anafanya biashara, akituo kila kitu, kodi, matumizi na nini ana baki na net profit 1M kwa mwezi, je hatujalingana. na kama tuna akili sawa, hatuwezi kufanya maendeleo sawa?. Ni akili tu,hela ni ile ile. tofauti ni njia tu ya kuipata hiyo hela basi
2026-08-10 10:53:19
0
fairich4
Fairich ❤️ :
saiz nakuelewa kabsaa Daddy
2026-08-10 07:15:59
1
agustinokapina488
sauti ya umalila :
gwajima anaakili sana
2026-08-10 07:08:11
1
user8355747888385jumam
JUMA KIZOTA :
kwelii baba ulicho sema
2026-08-10 07:55:49
1
aidanistg
Aidanist :
Naomba mniajiri na mnipe miaka mi5 nije niwaonyeshe.
2026-08-10 11:31:06
0
prince269302michael
PRINCE_👑🌏🇹🇿 :
dah sometime bro gwaji anaongeaga points sanaa😂😂😂😂🤣
2026-08-10 11:11:30
0
suma.mpili4
Suma Mpili :
2026-08-10 11:36:25
0
To see more videos from user @gwajimanization_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About