@gwajimanization_: KILWA NDIO KITOVU CHA UISLAMU TANZANIA NA ZAMANI ILIKUWA NCHI NA ILIKUWA NA SARAFU ZAKE 🎙️ Tembelea website kupata mahubiri ya Askofu Josephat Gwajima 👇 https://gwajimaphd-crypto.github.io/gwajimanization/

GWAJIMANIZATION
GWAJIMANIZATION
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 11 August 2026 00:50:00 GMT
35835
2090
87
114

Music

Download

Comments

akidakhan2
MO-SHIRAZ :
mm n muislam...n ukwel mtupuu...appreciate 😇
2026-08-11 09:45:12
0
urocke23
urocke23 :
Wa Zanzibar mmesikia historia Tanzania sio nchi mbili tu bado historia ya mafia bado historia ya wasukuma wachagga wahehe hizi ni nchi empire zenye madaraka N.k tumeungana Kitambo kwa umoja wetu bila kujali tofauti zetu
2026-08-11 07:35:38
11
razaq1409
TEBZA RAZAQJR :
kilwa homeland
2026-08-11 08:13:22
3
shabani_chalo
chalo roofing services. c r s :
dah hii sijasikia kwa shekhe yeyote ndio naisikia kwa mzee gwajima asante sana
2026-08-11 09:27:07
4
rajabumohamed269
RAJABU MOHAMED :
Wapi wamatumbi tujuwane maana ukisema mm mmatumbi mtu anasema ndio kabila gani hawajui wengi historia ya Afrika.
2026-08-11 06:08:12
27
kidagala.kidatz
kida :
historia za ukweli zinafichwa Kwanini Kwaiyo Zanzibar haioni ndani kwa Kilwa
2026-08-11 07:57:27
16
.boy.from.tanga
boy from tanga :
kumbe mm sio mtanzinia 🤣🤣
2026-08-11 06:17:49
13
nadua.online.tv8
NADUA online TV :
ndio munatakiwa kujua uislam NI dini kitambo Sana
2026-08-11 07:25:42
8
user5581849747499
Gatendeli :
wow. story nzuri
2026-08-11 05:29:45
1
zainabyasini4
ZAINAB YASINI :
kusini mpoooo
2026-08-11 07:54:42
3
shidhan.madawa
Shidhan Madawa :
Sio miaka miwili mitatu (kufariki Kwa mtume) hapo hukuelewa kama miezi kadhaa tu sio miaka
2026-08-11 07:17:37
6
user5053471491355
user5053471491355 :
umesema kweli
2026-08-11 07:42:47
2
dullkeytenge
dullahdonny "K" :
SOMA HAYO NDO YAMAANA HAYO
2026-08-11 07:40:07
3
donosnd
Dono Snd :
musada jamen kilwa ndo iko maeneo gan hapa Tanzania 🇹🇿
2026-08-11 08:36:46
1
amadiluamba
Amadi Luamba 13 :
upo sahihi sana mh ata mimi nimeitunza saraf ya taifa letu kilwa na chif mningo aliiuza kilwa kwa jola la nguo lenye ukubwa wa kuzunguka taifa la kilwa lote na iyo ndio thamani alisi ya maouzo.
2026-08-11 05:46:28
10
donluicy
kizito :
wenye fikra huru wanaelewa civilization started in Africa
2026-08-11 08:54:40
2
mochatatz
Mo chata :
KILWA imetoka kwny nch mpk kua wilaya duh ht mkoa imenyimwaaa😭
2026-08-11 09:22:51
1
user1634851178001
hassan kuchi :
kilwa yetu
2026-08-11 07:16:07
3
rajabadamchampion
rajab champion TZ🇹🇿 :
kwel kilwq kuna waislm wengi
2026-08-11 03:25:30
7
403error_auth
Technology errors :
Sio kilwa tu pia mwanza Ni taifa
2026-08-11 07:01:44
3
user8081884445917
user8081884445917 :
najivunia kuzaliwa kilwa 🌹
2026-08-11 09:03:52
0
user24024190945116
user24024190945116 :
kweli kabisa 💯✅
2026-08-11 07:16:17
2
officialynurdintz
Nurdin__Yasin⚓️ :
GWAJIMA, nichakula cha ubongo wallah
2026-08-11 08:50:58
1
hanafi.zayumba
Hanafi Zayumba :
siku nyingine anaongea kweri
2026-08-11 08:17:18
1
firstboe_dill
First boe_Dill :
Ila nyumbani kwetu Jau kweli 😂😂
2026-08-11 06:59:29
2
To see more videos from user @gwajimanization_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About