dada naomba ushauri wako katika kila jaribu huwa mungu hunipa ushindi hata nikiwa nimechoka bado nashinda,lakini jaribu langu kubwa ni mwanaume ambae niko nae natamani niweze kushinda nimruhusu awende mbali na maisha yangu nikisema nianze kuwa na maisha yangu ndipo anapokuja karibu yangu kisha hunipa maumivu,je,nifanyeje ili nishinde? hakuna vita hata 1 ambayo mungu amewahi kuninyima ushindi lakini huyu mwanaume amekuwa kama ukuta kwangu natamani awe mbali na maisha yangu ni duwa gani niombe ili nilishinde na hili niback mimi na mungu tu?
2026-08-10 10:30:10
1
Ndayishimiye adja :
asant km mimi hadi nashinwda wallah kuendelea na maisha 😥😥😥😥
2026-08-10 08:11:26
1
hepy murwani12 :
mimi nimekata tama
2026-08-10 06:30:00
1
Martina wachia :
Asante kwaushauri iyo nayo nikweli
2026-08-10 06:45:25
1
cute mtemii🍭🎀 :
kweli
2026-08-10 11:17:31
1
zainab :
wek tuchukue video
2026-08-10 05:42:45
1
mwita kigeso :
Amina
2026-08-10 06:53:06
1
Malaika :
Amen 🙏
2026-08-10 06:12:10
1
YFM :
Ameen in sha Allah
2026-08-10 06:39:35
1
Halima Kwale :
Amina ndugu
2026-08-10 18:26:00
0
Eddy hasla :
Ni kweli kabisa 👍👍👍
2026-08-10 17:57:45
0
Mélanie fatuma :
njo kweli
2026-08-10 05:03:26
1
Saidaty :
2026-08-10 13:33:15
0
Nasy lady :
asante
2026-08-10 05:20:48
1
Alhamdulillah 🙏 :
amin
2026-08-10 06:18:04
1
Promesse_N :
asate 👍👍👍
2026-08-10 04:46:30
1
queen Lizzy 💃👗👖❤️❤️ :
Amen 🙏
2026-08-10 06:30:27
1
Rukaya :
amin
2026-08-10 07:10:52
1
dijas :
shukran
2026-08-10 10:05:12
1
Damtu :
Ahsnt kwa ushauri mzuri
2026-08-10 19:32:01
0
user7345335131333 :
Allah Kareem
2026-08-10 11:23:06
1
Maryam Isssa :
amiin yarabii
2026-08-10 10:28:09
0
faizah :
Amina kweli kabisa
2026-08-10 19:17:43
0
aridja💞❣️🤍💖 :
Amina 🙌
2026-08-10 05:19:39
0
To see more videos from user @jaycomedynatz, please go to the Tikwm
homepage.