@jamiiforums: Baada ya kusambaa video fupi ikionesha mvutano huku Bodaboda akisikika kumdai Askari Tsh. 35,000 ya kumuendesha, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi amesema “Tutachunguza kwa kina na kujua kiini cha tatizo ni nini”. Ameongeza “Hataonewa Mtu wala hatapendelewa, haki itatendeka, baada ya pande zote kusikilizwa na ushahidi kuchambuliwa kwa hatua stahiki. Si haki kuhukumu hapo na si haki kuhukumu Jeshi zima kwa tendo la mtu mmoja. Tuwe na uvumilivu tuepuke hukumu za chuki bila kujua ukweli ndugu zangu. Tupost na mengi mema pia.” #JamiiForums
JamiiForums
Region: DE
Monday 10 August 2026 06:01:09 GMT
Music
Download
Comments
Isack Eletronic :
police acheni kuonea
2026-08-10 13:38:20
0
Dr harounes :
Humanity=0
2026-08-10 12:08:49
0
mgangakimbe :
duh so sad
2026-08-10 13:14:12
0
big boy :
Octobernism
2026-08-10 14:59:40
0
James Magambo937 :
duh police jau san
2026-08-10 09:25:24
0
Beta boy :
ila police
2026-08-10 12:08:30
0
zizo the boy :
polisi tena anang'ata duh
2026-08-10 07:21:52
129
ramla :
Mungu naomba kwenye uzao wa tumbo langu asitoke askali hata mmoja tuseme amen 🙏
2026-08-10 08:40:38
280
Michael :
kwa maongezi yao tu inaonesha askari anamakosa ila kwakua nchi mnaongoza nyie bas mnyimenihaki huyo dogo
2026-08-10 06:44:35
322
chief masele :
shida polisi alikuwa hana nauri au nini ?
2026-08-10 07:23:25
122
futurecivics :
wew askari ndo anamvuta bodaboda sio bodaboda anavutana na afande
2026-08-10 06:19:27
62
Rahma Said 🥰♥️ :
mm naona shida inaanzia mtu anafeli form 4 anaenda polisi, elimu inasaidia mengi sana jamani
2026-08-10 10:30:29
40
FEDDY QUALITY FURNITURES :
kwani askari kila mtu ni mdogo wake
2026-08-10 08:27:40
18
joh.52 :
sidhan kam kuna haki itatendeka hapo huwa tunawajua sana
2026-08-10 08:52:06
15
user5768630481301 :
chakushangaza watanzania wenzake wanaangaliatu anavyo fanyiwa unyama
2026-08-10 11:33:12
11
greeed :
naomba kuuliza je asikari anatakiwa kulipa nauli
2026-08-10 08:39:16
18
light :
uyo askari ndo mwenye shidaa
2026-08-10 09:01:25
8
Ashula Leonard :
sasa si umlipe ela yake usitumie madalaka yako vibaya bodaboda ni watu poa sana
2026-08-10 10:05:35
11
pascal kinyemba :
Mbona wa kitonga tumempost?Kwa hiyo mabaya tutapost na mazuri tutapost ili raia waelewe mabaya na mazuri Over.
2026-08-10 09:40:30
16
🥰🥰SA&AS😘🥰 :
🤔🤔🤔polisi wanatakiwa wajiulize kwann wana dhalaulika sku hizi?
2026-08-10 07:56:27
11
dulazi :
hela hajamlipa na bado anamvuta yaani Mungu atusaidie amani iwepo maana wanatukatishaa tamaa na chama tunacho kiamini
2026-08-10 07:51:26
14
ukhty_zainab :
Ila hii clip inasikitisha kama kweli askari ametumia mamlaka ili kumuonea raia hiyo sio sawa sheria ifate mkondo wake, pongezi kwa alie chukua video
2026-08-10 09:52:23
11
💕mama mpenz. 😘 :
uwonevu kwa axkar apo sema daaa apewe haki
2026-08-10 07:38:32
5
unknown3rror :
kweli tokea October watu wamevurugwa😂
2026-08-10 08:29:23
6
nino baby :
Saf kak kaza pambania haki ukiwaletea mazoea haw watawazoea
2026-08-10 07:24:01
15
To see more videos from user @jamiiforums, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.