🤣🤣🤣 mm nili posti poch adi nika choka hakuna wakuulizia ata bei😭 chupi adi nika weka zote only me 😂😂😂😂😂
2026-08-10 15:12:49
182
elegantstore01 :
Account yangu imejaa post za pochi namba shuka Tshirt nikajichanganya nikachukua Tshirt 70 nmeuza Tshirt 20 tu kwa watu wanaonijua ila ukiingia live mpaka unatoka hakuna mteja 😂😂😂 sina hamu mie
2026-08-10 15:59:52
59
Cesie Outfits💝 :
Alafu tunaonyenyekea wateja hata hawatuungishi ila biashara 😂
2026-08-10 17:33:14
53
NEBA COLLECTION :
😂😂😂nilikuwa winga nikawa napata wateja 😂😂nikaamua kufungua duka langi 😂😂😂😂niacheni nicheke jamani bora pesa yangu ningenunua kiwanja
2026-08-10 16:21:53
44
🫀💋🦋 :
Hapo kwenye live wewe nashogaako ndo nimecheka mpakaaa nimevunjika😂😂
2026-08-10 19:53:03
14
Aisha Ally :
Nipo hp mwenetu nimenunua nguo za watt za mtumba mpaka sasa sijawahi kuuza yaani 🙌🏽 nachoka Mimi natamani kulia 😭😭😭
2026-08-11 04:56:29
11
Nipher outfits :
Mimi nimechoka duka linanichosha tu hebu mwenye idea ya uwinga namuomba anifundishe niwe tu winga
2026-08-10 21:26:28
5
Lorah 💕🩷 :
Kun dunia inaitwa instagram 😂😂😂 ata bei awauliz
2026-08-10 15:42:19
35
Being_ NICAH 🦩🦋 :
Story yako inachekesha na kuhuzunisha 😂😂
2026-08-10 13:22:33
37
cherry🍒🍒 :
Ila we dada nimecheka wallah😂😂🙌
2026-08-10 16:43:37
9
~✨berna🌼🍀 :
anyway nilikuwa nakusaidia kucheka😂😂😂😂😂
2026-08-10 16:16:30
5
To see more videos from user @reenstore12, please go to the Tikwm
homepage.