Doctor samahan naomba usipite bila kunijibu mimi mwaka jana mwezi wa 12 tarehe 26 ndo zilikuwa siku zangu za hatari na ndo siku nilibeba mimba je kwa sasa nipo wiki ya ngapi
2026-08-11 06:25:53
0
kalenjin girl 🥰🥰🥰 :
mtoto ako months kwa sasa anajisumbua na kulialia kila wakati
2026-08-10 18:41:47
0
Ladywin Chao :
mtoto wangu wa siku 14 kila akinyonya anapupu
Hivi hii sahihi?
Dr nisaidie
2026-08-10 06:39:24
3
zee💞🦋💙🥰 :
wangu hajafika ata mwezi je ni sahih kufanya ivo dr
2026-08-10 17:25:18
1
kajunior dk :
bona wangu anapupu kinyesi ngumu anapupu akilia
2026-08-10 06:33:29
3
quet irene🌹🌹 :
mtoto anakaza shingo siku ngapi
2026-08-10 06:32:19
2
BIG THINKER :
vip anaepupu kila baada ya kunyonya?
2026-08-10 10:49:20
2
shylock :
doctor nimejifungua premature wa miez nan nimemzaa na 1.6kg hanyonyi kwenye ziwa mpaka nimkamukie pia choo anapata kwa shida yan inaweza pita siku mbili hajanya pia tumbo lina mjaa msaada pls🥺
gesi ya mama haina uhusiano na mtoto ila waeleze position nzuri ambayo mtoto asiwe anavuta hewa pia mtoto anatakiwa anyonye mara 10 hadi 12 kwa siku hapo ndio anaweza kupata choo au kukojoa. Huko ku massage ni option ya mwisho kabisa ila pia yawezekana mtoto ana nec
2026-08-11 04:42:47
0
user8822555572056 :
asnte sana dr nikajua hashibi
2026-08-10 14:15:27
0
Mamy🌹🌹kareem😘😘 :
Asante my
2026-08-10 11:10:02
0
Anne williams :
i love you... Yesu akuweke sana....unaongea vitu vya msing xna
2026-08-10 07:26:46
0
Anna Haruni :
sijutii kukufuatilia 🙌❤️
2026-08-10 06:31:19
0
edvintsongo :
bjr docta chakula gani yenye gaz? yu tuwaempuche watoto Ku pata gaz
2026-08-11 10:10:05
0
Mrs japhason :
doctor mimi mwanangu anaweka shingo upande
2026-08-10 09:06:38
0
putin mkatili :
je tatizo lakupata choo kila saa?
2026-08-10 08:53:03
0
haithamamour2 :
Asante doctor
2026-08-10 07:29:02
0
shadia :
nivyakula gani
2026-08-10 06:43:42
1
To see more videos from user @dr.jessy09, please go to the Tikwm
homepage.