@fayheroes_tv: #simba #VIRAL #SIMBA #tiktoktainment #modewjifoundation #yangafans #simbafanstz #VITASA #YANGA #boxing #nassibramadhani #azamsports #caf

FayTv_
FayTv_
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 10 August 2026 06:29:10 GMT
73269
1439
36
54

Music

Download

Comments

user9698370483482
Daniel kazala :
hamna kipa hapo
2026-08-10 07:50:29
2
user6911753345812
Ndaturu, magaso :
kwakwel japokuwa.mm.ni yanga huyo siyo goli kipa
2026-08-10 08:40:28
1
elipendagodfrey
ely :
bahat mbay jaman
2026-08-10 08:03:23
1
stanleymyombe
Stanley Myombe :
uzembe wakipa anashangaaa tyu onaaa!
2026-08-10 14:31:07
0
neylicious725
Neylicious :
gol la wazi jamani duu
2026-08-10 14:41:13
0
modric7791
modric :
tutaelewana vzr kama yanga Hamna kitu ama laaa
2026-08-10 09:03:53
1
sharifa.athumani5
Sharifa Athumani :
kabisaaaa
2026-08-10 14:25:44
0
jumamambo205
Juma said Juma :
madudu goal
2026-08-10 08:09:56
0
jacline.m
JacklineM. :
kweli kabisa
2026-08-10 08:13:26
0
hilarymassawe93
Massawe Jr :
bado hamjasema
2026-08-10 08:19:07
0
mpenda.amani.tz
Mpenda Amani Tz :
kipa hamna hapo
2026-08-10 08:51:57
0
humorousprofundity
Thinklaugh :
Na Goli la Diarra je?
2026-08-10 08:46:29
0
beyjanuru
Bey Januru :
yanga Amna kitu Mimi naona kama wanacheza utumbo Sasa bao gan la kufungwa jamani nisaidien
2026-08-10 07:54:59
2
user2760334203756
user2760334203756 :
ndiyo Kabisa hapo hakuna Kipa watafute mwingine 😂.
2026-08-10 12:07:49
0
benadethanyalali
Benadetha Nyalali :
ni makosa ndani ya BOLI usiseme hafai kaka
2026-08-10 07:23:35
1
lameckwilliam690
Lameck William :
sahii kabsa masalanha ni golikpa mzur kweli ila kiwango chake sio chakuchezea jangwani
2026-08-10 09:47:02
1
user7108075265269
Hawa :
wew subiri muone atakavo wachakaza Simba
2026-08-10 07:24:53
0
jumaomarisalumu
Juma salimu :
cjawai kumwamini huyo mwamba
2026-08-10 14:58:27
0
kibwanakassimu2
MARCOM KASSIM :
unajua cc mashabik waiz timu za k/koo %70 weng wet tunapend timu Yan....iv mfano kwajins walivosajir simba yanga ndo tusem aziwez kufugwa or.....tusiweiv jmn at km unquchungu na timu yk jua mpila nao unasheriazak jmn Mn mpil unamatokeo ma tatu jmn kufungwa kufungua na kudrooo
2026-08-10 13:58:39
0
godwin6272
Godwinkainamula :
kipa mzembe, beki zote hazina nidhamu wapewe adhabu ya kufanya mazoezi mengi ya viungo ni wazito ktk kufanya maamuzi. wafanye mazoezi mengi ya viungo
2026-08-10 13:23:56
0
user4519786736054
[email protected] :
masalnga atyache
2026-08-10 11:23:41
0
mvungifadhili
shafam :
Huyo alemuwekea sawa jama humuoni? hemuulize alikuwa anapiga au anazima
2026-08-10 09:33:06
0
darweshydarweshy
DarweshyDarweshy :
hpn hapo kipa ndio amezingua
2026-08-10 13:59:34
0
user616659140586
user616659140586 :
Kipa Jagadi kuwa yanga Huyo tafuteni mwingine
2026-08-10 09:03:28
0
user3260693285157
ADAM :
kipa mzembe
2026-08-10 15:12:20
0
To see more videos from user @fayheroes_tv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About