Kkkkkkkkkkkkk diamond, rayvanny, harmonize, ,… 😢😂😂😂 Congo fally ipupa ana Wa shinda wale wako wote
2026-08-10 18:32:54
13
Key COLLECTION 🛍️ :
Umenikatisha Tamaa yaku subscribe 💔
2026-08-10 08:45:14
30
Chacal Dev 🎙️ :
una ongelea Congo Brazzaville Ama Congo Kinshasa maana kama sija kuelewa hivi
2026-08-17 06:28:53
9
sanctus Alexis01 :
siku taona msanii wa tz anafanya show kwenye stade ( uwanja wa mpira) inje ya tz taitika kama kuna international artist kama sivyo akuna international artist
2026-08-10 07:25:21
26
op fils :
we congo tuna gims,fally,innos’b ni wengi
2026-08-11 15:54:09
11
John lusimba :
tafauti kati ya international na loco
2026-08-11 21:12:44
16
LA PATRIE CONGOLAISE🇨🇩💪 :
mziki wa congo 🇨🇩 ni tangu enzi izo mpaka leo tuko on top
2026-08-10 07:18:13
6
Treason Mumbere :
Brown kuna wasani wa congo wasiyo ishi congo kama dadju,yusoupha ,fally Ipupa,gims innos'b
2026-08-10 13:09:05
7
Kimimbi DK :
brother elewa kwamba afrika anatawaliwa sana na french na inglish kwaiyo congo ndiyo inji ya ma king of french artistes, sasa kama hamufatilii wa sanii wa congo ni sababu inji yenu ni ya kingereza juu hata sisi hatufatilii sana sana wale wa sanii wa inji za kingereza, ila juwa kwamba congo ndiyo inatawala french music kama wa nigérian na inglish musuc
2026-08-10 16:12:22
6
sanctus Alexis01 :
usisumbue wutu leta stat moja ya msani wa tz
2026-08-10 20:42:08
5
bad man :
mziki wa dunia mzima ulianza congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩
2026-08-13 17:30:50
2
origi :
ebu soma commenti brother
2026-09-01 21:37:33
3
EMERY OMBENI NDAGANDA.com :
Les Congolais sont les supers
2026-08-23 05:42:59
1
brother :
haujui congo ambae unaongelea kuna Congo mbili
congo Brazzaville 🇨🇬
congo Kinshasa 🇨🇩
2026-08-23 03:50:10
1
To see more videos from user @midollar_, please go to the Tikwm
homepage.