@samysamuelbyamungu: Hadi Leo mungu ana endelea kutu bariki kupitia wimbo huu Na acha kwa atua hii tu barikiwe tena na dada yetu @LydiaNab23 ambaye ame ifanya Tena vizuri sana 😇🫶🙌🏿 BABA MWEMA by Samuel Byamungu on YouTube #tanzaniantiktok🇹🇿 #kenyantiktok🇰🇪 #babamwema #fy #samuelbyamungu