@user4473487999153:

Bollen Ngetti
Bollen Ngetti
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 10 August 2026 07:28:46 GMT
7515
214
17
49

Music

Download

Comments

byaba6
THE TRAVELCHIEF :
Wambie pia Katiba iwe somo kuanzia shule ya msingi mpaka chuo kikuu
2026-08-10 15:02:35
2
homeboy6217
homeboy :
Bollen bado tunakuhitaji kaka hawa watu watakufatilia na walishasema mtu wakimpoteza tusimtafute🤣🤣🤣
2026-08-10 18:15:10
1
bite1130
@bite🥰 :
kaka bollen 😅 unajua ata ww hatukuamini unachosema. ccm Ina mambo mengi sana hatujui yupi anasema kwel au anaedanganya
2026-08-10 09:34:26
1
mabrukitajiri63
Mabruki Tajiri :
logo nakukubali sana
2026-08-10 18:55:13
0
georgesengati
biggeooos :
😁😁😁😁 mjomba una hekima sana point tumesanuka wakwamishaji ni wakina nani
2026-08-10 15:09:07
0
masoudsalum438
Masoud Salum :
hapo ataelewa tu
2026-08-10 14:13:51
0
jumahamis099
jumahamis099 :
pesa zipo sema tu hatuwezi kulingana maisha lazima tutofautiane ndio maisha
2026-08-10 14:40:36
0
enock.makoga
Enock Makoga :
ccm ni waongo sana na matapeli wakubwa sana watanzania tuwe makini sana
2026-08-10 14:33:11
2
user8155370672335
Mchela04 :
hao wenzio hawataku ukweli,usishangae utaanza kuwindwa
2026-08-10 07:48:15
1
user6242476202602
user6242476202602 :
Huyu umesema ni rafiki Yako. Hiki unachokisema ungempigia simu muongee mmalizane kwenye simu. kujirekodi na kuweka mdandaoni unatuviruga sisi wananchi. Msijione kuwa nyie ndio wenye haki ya kutusumbua kifikira. Hebu tuacheni sisi wananchi jamani . Sisi hatupendi mambo ya mipasho kwenyeitandao.
2026-08-10 08:36:31
0
biggy5809
biggy :
Hakuna fisadi yyte anaetaka katiba mpya na ndio maana wanachofanya ni kutumia majukwaa na baadhi ya watanzania wajinga wasiojua maana wala umuhimu wa katiba mpya wanawarubuni kua kudai katiba mpya ni kuvuruga amani ya nchi kumbe wanajua kabisa kua katiba mpya ikiwepo uwezo wa wao kufanya wanayofanya sasa hv itakua ngumu
2026-08-10 11:03:28
0
rashidi.fusi
Rashidi Fusi :
makamba unataka uzaliwe upya utaweza kweli tupo hapa tunakufatilia kila post yako
2026-08-10 12:53:03
0
moviesgeeks6
Movies Geeks :
Hella ZIPO SANA TU.............
2026-08-10 18:58:47
0
editha.gabriel7
Edithagb068587 :
wanamabo yao yanayohofia yawezekana ndo wanakwamisha katiba kupatikana mungu atupiganie baadh ya vigogo hawaipendi katba mpya
2026-08-10 08:27:35
0
machaoedward
machaoedward :
😂😂😂
2026-08-10 08:55:41
0
To see more videos from user @user4473487999153, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About