@kibaga.harvest.mission: #kibagaharvestmission #fyp #fyppppppppppppppppppppppp

kibaga harvest mission
kibaga harvest mission
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 10 August 2026 07:33:31 GMT
48948
3651
83
85

Music

Download

Comments

dr.yohana_alois
Yohana Alois :
am proud of you sisters and brothers message believers from ukerewe🙏🙏🙏🙏🙏
2026-08-11 06:17:27
2
simbad264
simba d🇷🇼😂😂😂🇹🇿🇪🇦 :
this oficaly milaco🥰🥰
2026-08-11 07:28:58
0
user7681126202527
daugter of god :
karibuni kanisani kwetu lipo dodoma nkuhungu na hao ndo waaminio halisi wa ujumbe wa mbisho kabla ya dunia kuisha na mambo yake
2026-08-11 05:45:51
21
happinespaulo775
Mickhayrun 🌹❤️ :
na ilikua n ibada kwel now ni maigizo tu makanisan ee mwenyezi MUNGU tusaidye🙏😭😭😭😭 mafuta chumvi sjuw ninini duuh tuongoze bwana yesu 🙏
2026-08-10 17:39:11
6
justine.mpangala
justine mpangala :
hiii ndio wanaomsifu bwana katika roho na kweli
2026-08-11 05:03:42
9
divine8.1
DEE~~VINE🌸⭐️ :
Kipind hiko mtu akizini kanisa linalia lakin sikuhz hata uzin ni kawaida duh🥺Mungu tusaidie
2026-08-11 11:04:20
3
edina.benard
Edina Benard :
Kanisani la jirani bila umeme mambo hayaendi na Ibada inakuwa fupi😁😁
2026-08-11 07:24:21
9
love.ruben
lovie Ruben %%%£££ :
jmn mbona kanisa hili lpo mpka saiv sema halijulikan sana but lipooo
2026-08-11 21:51:43
1
mussa.james7
Mussa James :
kila jambo na mjira yake maana yake mnamaanisha zamani kulikuwa hamna magari ila watu walikuwa wanatembea kwenda sehem mbali mbali maana yake na sasahiv watembee kwa miguu kwenda mikoani si ndio
2026-08-11 08:43:05
2
ajema65
Emmy salonist :
kipindiki hiking hakukuwa na kuvunja madhabao wala kupanda mbegu
2026-08-10 21:22:26
4
mimi.love2152
mimi🦋love :
daa wamechangamka sana apo wakipata umeme hadi raha
2026-08-11 13:33:52
2
muteteriesperance
Muteteri Esperance :
mungu awabariki wandugu kutoka Tanzania tunawapenda sana Mimi Niko Rwamda
2026-08-11 17:23:31
1
veronicaagustine9
Emyvee :
jina la wimbo
2026-08-11 04:44:56
1
yusuphnjangaje
YUSUPH JN :
Kikubwa kila mtu asimame kwa nafasi yake , Ufarisayo hauhitajiki miongoni mwa watumishi.STAY ON UR FIELD 🙏🏾
2026-08-11 08:47:06
2
frolagladnes
strawberry :
inanikumbusha mbali saiv ni matapeli wamejaa mar chumvi mafuta ya upako ni mambo ya ajabu tu
2026-08-11 08:45:19
2
blessingsilayo
Blessing :
hii ndo ibada ya waabuduo halisi katika roho na kweli
2026-08-11 19:51:45
1
obbyobinajob
obbyobinajob :
Nawapendaa mnoo hawa watuu jamanii nimependa izoo sautii makofii na huyoo muimbishajiii
2026-08-11 18:04:07
1
tinamajo2
am_Tina🤘 :
wala kukanyaga mafuta
2026-08-10 18:56:03
1
melichadesfelicia
Melichades Felician :
Amina
2026-08-11 18:51:33
0
lightnesomary682
Lightnes Omary :
nawapenda mko wapi 🥰🥰🥰💯
2026-08-11 18:05:48
0
solosaringemackb
solosaringe :
mbona mpaka sasa yapo
2026-08-12 07:49:42
0
solosaringemackb
solosaringe :
UWAMSHOOO MKUU UNAKUJA DUNIANI PLEASE USIPANGE KUPITWA
2026-08-12 07:50:18
0
user9909361551034
abdalla :
Amen
2026-08-11 19:31:13
0
user1485514212693
J dad✨ :
Dah mzee wa siku yupo karib
2026-08-12 08:09:14
0
To see more videos from user @kibaga.harvest.mission, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About