@original.electrica: 💡 TRONIC LIGHT-CONTROL SENSOR (PHOTOCELL) 💡 Washa taa zako automatic bila usumbufu! 🌙☀️ Light-Control Sensor ya TRONIC huwashia taa wakati wa giza na kuzizima wakati wa mwanga wa mchana, hivyo kukusaidia kuokoa umeme na kurahisisha matumizi. ✅ Ubora na uimara wa kuaminika ✅ Automatic ON/OFF ✅ Inafaa kwa taa za nje, security lights, majumbani, madukani na maeneo mbalimbali. 📍 ZINAPATIKANA ORIGINAL ELECTRICAL SUPPLY – KARIAKOO, MTAA WA NARUNG’OMBE & SIKUKUU 📞 0786 791 692 🚚 TUNASAFIRISHA MIKOANI KWA UAMINIFU!