hv unajua wachezaji ambao wanaweza kuamua matokeo wakati wowote hua ni viungo sasa kwa simba viungo waliopo mm naona hawawezi kuamua matokeo yoyote,waje viungo wazur kama zemanga soz
2026-08-10 10:03:15
8
Tristan🤑 :
team X wataiga kama nasema uongo tupo apa😂
2026-08-10 10:27:48
10
aba mkondo :
mkataba unasema yeye kila msim anasajili mchezaji 1 sasa atakuja yeye haja nunua mchezaji mchezaji atanunuliwa na mashabiki na sio yy mpaka hapo atakuja nije ya mkataba ninachokiona mm unaruhusiwa kunikosoa kama nimewlewa vibaya
2026-08-10 09:17:46
1
Christina Machemba :
kwani dirisha linafungwa lini
2026-08-10 13:18:07
0
Seleman Mkaraboka-MCMXCVII :
Free Juma Jux
2026-08-10 12:40:58
1
mimah sheha :
mtu anayeongea namna hii huwa ana ukweli ndani yake. Nimekuamini broo
2026-08-10 13:14:00
0
jbtz20 :
Jama anaakili sana sema vizur havidumu 🤲🤲🤲 dua nyingi
2026-08-10 09:17:22
10
Gosbart Meshack Bagyichile :
Naomba mtume lipa namba
2026-08-10 09:29:11
5
abedi075 :
tunanunuaje
2026-08-10 11:36:55
0
😇😇💦 :
we kak mungu akuweke huyu anafaa kuwa mwenyekiti sasa 🥰🥰🥰🥰🥰🥰leta namba hiyo watu tuchange chap kwa haraka
2026-08-10 11:10:57
3
everyne Moses :
naona unachelewa Fanya hivyo chapu nisije nikaenda kununulia wine🤣
2026-08-10 11:18:26
1
Charze classic :
Wanasimba inabidi tujute sana kwa kuchelewa kupata mtu kama huyu aisee na inatakiwa tumlinde kwa nguvu kubwa sana
2026-08-10 10:59:23
2
Mr LIGE :
watuu weweeee 💪
2026-08-10 10:19:17
1
nyerere,17 :
yanga asiangalizie mambo yetuu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣,,,nahama nchii ,,,wasipoiga😅😅😅
2026-08-10 11:16:46
0
To see more videos from user @jaysontz2, please go to the Tikwm
homepage.