@lausmediatz: Meneja Habari na Mawasiliano wa klabu ya Yanga, Ali Kamwe akielezea mchakato wa kumpata na kumuandaa mwanamuziki Dudubaya kwa ajili ya kufanya show Yanga Day ulivyokuwa kuhakikisha kuwa haleti taharuki Full Interview ipo YouTube Laus Media TZ
Laus Media TZ
Region: TZ
Monday 10 August 2026 08:40:50 GMT
Music
Download
Comments
Isack Kabure :
soon atakujibu tu
2026-08-10 09:46:06
37
maulid suleh :
si walisema msanii mkubwa atakuwa surprise ndio uyo
2026-08-10 11:33:49
28
sherrylove🥰❤️ :
hazoeleki muda wowote anakugeukia
2026-08-10 11:18:26
14
isiakah de perfumes :
mbn hajaaribu chochote kwan kusema tutawapiga miti ni tusii
miti ni nn kwan au mnamaanisha vitu vya hovyo
2026-08-10 16:23:27
0
Simba Nguvu Moja :
aarifanya vizuri san niripenda san team Mamba 24 Comments ap
2026-08-10 10:55:02
12
First boe_Dill :
kilichowauma dudubaya kusema tunawapiga miti alafu wamepigwa miti wao 😂😂
2026-08-10 17:09:37
0
Catherine Lugaila :
Kwa hiyo kupiga miti ndio pafomansi Bora?
2026-08-10 14:07:04
3
micajunia :
mambaz24 ni jasjili Sana tujifunze hujasr ktoka kwake
2026-08-10 13:28:49
2
Evance Tarimo :
nilijua tu😂😂
2026-08-10 14:43:23
0
Bruno Peter :
kwani baya lake lipi
2026-08-10 15:44:09
0
Rama_Tajiri🎙️ :
haujui
2026-08-10 10:02:10
5
zainab :
huko kutukana
2026-08-10 15:58:17
0
daddy_left :
c bora Dudubaya amuulize Mourinho na Balotelli alipomtahadharisha ana sraiker mmoja ambae n yy kilichotokea a few moments later😂😂
2026-08-10 11:55:14
1
Bigger Mind :
Hiyo Nd suprise yenyewe sasa
2026-08-10 14:26:55
0
mayasasimai :
Sauti ipoo wapi kaz zinawenyewe hizoo
2026-08-10 14:58:10
0
halima daudi :
tatozo lilianzia kwenye miting
2026-08-10 12:31:42
3
carl :
hakuna kitu cha hovyo mlichofanya kama kumpa Dudubaya jukwaa, mlishindwa kujifunza kutoka kwenye majukwaa yaliyopita?
2026-08-10 11:26:50
5
mudychinga292 :
kweli kauwa namiti tutawapiga kwel
2026-08-10 10:42:44
6
Mariam Daud :
msomesheni vizuri ili arudi kwenye hadhi yake anakitu !!!
2026-08-10 09:48:05
5
nabu fundi :
unaogopa atakupiga😂😂
2026-08-10 10:35:04
5
Athuman mihanju :
tunawapigamiti
2026-08-10 10:13:39
4
CAROL TAILORING AND DISGNER :
😂😂😂😂MAMBA ANAPENDWA HILA MUDA WOWOTE ANAOGOPESHA KUKIWASHAA😂😂😂
2026-08-10 10:22:51
2
banyenda1 :
munamchokoza konk
2026-08-10 10:25:44
3
To see more videos from user @lausmediatz, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.