@hubofwisdom.inc: Kama unataka kustawi kiuchumi ni muhimu sana kuwa na mkakati thabiti. Katika sehemu hii ya pili, Emilian Busara anaelezea kuhusu uwekezaji na mambo mengine yaliyopo katika mtiririko wa mikakati ya msingi inayoweka ramani sahihi ya safari yako ya kifedha na kukusaidia kujenga utajiri kwa mkakati, si kwa bahati. Pia anatoa vitega uchumi vitakavyokusaidia kuwa na chanzo zaidi ya kimoja cha mapato "Kuna nguvu imewakamata watu, hawaangalii faida, wanaaangalia shughuli... lazima utenge sehemu ya mapato yako ukawekeze, wekeza sehemu saba hadi nane." Anasema Mtaalamu, C.P.A, Emilian Busara 📌 Tazama mtiririko huu kupitia Hub of Wisdom kwa njia ya YouTube na uendelee kufuatilia kwa mafunzo zaidi kuhusu fedha, biashara na maendeleo binafsi. 👉 Usikose Sehemu ya 1 na ya 3, ambapo anaendelea anafanua vipaumbele katika kukamilisha ramani yako ya mkakati wa mafanikio yako kiuchumi. Tuandikie maoni yako kwenye comment section au tuma neno WISDOM kwenda namba 0753825794 kujiunga na mijadala katika kundi letu la WhatsApp au tembelea tovuti yetu www.hubofwisdom.com/media ------------------------ #EmilianBusara #MafanikioKiuchumi #Uwekezaji #Biashara #FinancialFreedom #HWMediaTuandikie
hubofwisdom.inc
Region: TZ
Monday 10 August 2026 10:10:00 GMT
Music
Download
Comments
There are no more comments for this video.
To see more videos from user @hubofwisdom.inc, please go to the Tikwm
homepage.