@veriafya: Mtoto huanza kujaribu kutamka neno lake la kwanza mwezi wa 6 hadi 8 baada ya kuzaliwa, baada ya kusikiliza sauti mbalimbali toka akiwa na miezi sita tumboni kwa mama hivyo ukiona ameshatimiza mwaka na hashtuki akisikia sauti kali mfano ya kubamiza vitu au milango basi awahishwe hospitali kwa uchunguzi na matibabu zaidi Elimu hii ilitolewa na Dkt. Naufal Kassim, Bingwa wa Masikio, Pua na Koo kupitia Zanzibar Outreach Program TV

Veriafya
Veriafya
Open In TikTok:
Region: ZA
Monday 10 August 2026 09:45:37 GMT
1935
61
0
14

Music

Download

Comments

There are no more comments for this video.
To see more videos from user @veriafya, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About