@ali_wisdom: Kuna watu muda wao katika maisha yangu umefika mwisho. Si kwa chuki, bali kwa sababu nimejifunza vya kutosha kupitia maneno na matendo yao. Nawatakia mema, lakini si katika maisha yangu tena. Si kila anayepotea maishani mwako ni hasara; wengine ni amani uliyoipata baada ya kuwaacha. #creatorsearchinsights #viralvideo #foryou
allaha anitie nguvu anipe ule ujasili nisiteteleke inshallah nikubaliane na kila kitu
2026-08-10 17:50:13
3
jaivah aweeeh 🔥🔥🔥☠️🫵💯💯💯 :
Fact 💯
2026-08-17 17:36:00
0
Florancean :
Inaumiza mno lakini hakuna namna
2026-08-10 17:30:19
1
amina Al-khabibih :
hassibun ya Allah wanneemal yakeen ameeen
2026-08-17 21:10:27
0
Rehlaty 🦋 :
Alhamdulillah 🥹
2026-08-17 20:55:44
0
SMD THE BOSS :
definitely true
2026-08-10 11:04:59
1
mariam :
inafaa kw status leo hii
2026-08-10 14:29:28
1
Mberwa Sevelian :
allaaah atie uzima
2026-08-11 18:54:51
0
MKUSHI★THE★MADNESS🍁 :
2026-08-11 16:24:50
0
faith 🥰😘 :
sahihi 🤔🤔
2026-08-15 21:19:17
1
Gody vitambaa :
very fect
2026-08-13 08:45:31
0
Husna :
kuna watu muda wao katika maisha yngu umefika mwisho.sio kwasababu siwapendi, bali kwa sababu nimejifunza vya kutosha kupitia maneno na matendo yao. Nawatakia mema. lakini sio kwa maisha yngu tena.sio kila anayeondoka maishani mwako ni hasara; wengine ni amani uliyoipata baada ya kuwaacha.🥰
2026-08-10 18:41:06
1
milfath :
nna magumu saiz hii account yako ndo napata faraja
2026-08-12 07:39:17
0
Abdallah Pacha :
hakika
2026-08-10 10:48:34
0
Fipa girl🇯🇲 :
kila nikiingia kwa ali kim nakuta vitu vinavyonihusu alooo
2026-08-11 21:12:46
0
amina Al-khabibih :
yote hayo huletwa kwa sababu ,hivyo tunashukuru mungu,maana yaliyo mengi huwa ni funzo kwetu na kupata njia mpya l; ameeen
2026-08-17 21:09:42
0
🗣️" MÕÔD_Zone "💔🎯 :
fãçt 💯
2026-08-11 14:43:29
0
Nyamande :
Very fact
2026-08-10 12:51:00
0
kelv madarale :
insha allah
2026-08-10 20:36:10
0
kinana :
swadakta...
2026-08-10 19:28:39
0
mimah nails 💅 :
2026-08-10 16:42:36
0
@Digobae🦋🦋🦋 001 :
kabisa
2026-08-11 14:32:44
0
ShukranMola :
acha wasonge mbele cha muhimu amani kwetu na kwao pia
2026-08-13 13:14:23
0
To see more videos from user @ali_wisdom, please go to the Tikwm
homepage.