@zbc_zanzibar: Mapema leo Agosti 10/2026 Watu watano wameripotiwa kufariki dunia baada ya gari ya abiria aina ya daina yenya namba za usajili (Z 965 B) kugongana uso kwa uso na Piki piki  yenye Namba za usajili (Z 452 PJ) huko katika Kijiji Cha Ziwani Wilaya ya Chake Chake Mkoa wa Kusini Pemba. Endelea kukaa karibu na Mitandao yetu ya kijamii kwa taarifa zaidi kuhusu Undani wa tukio Hilo. #ZBCUpdates

ZBC Zanzibar
ZBC Zanzibar
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 10 August 2026 10:25:15 GMT
29601
1044
70
292

Music

Download

Comments

bin_muhdhar
Haroub :
Ndo khatma, Allah atupe khusnu Alkatma
2026-08-10 18:58:34
3
nabrajames
nabra _james :
Allah atupe mwisho mwema na kauli thabit
2026-08-10 12:41:39
24
user5370880340368
mtoto wa baba :
🥺
2026-08-10 17:38:33
1
mamy.nii1
💞mamy 🦋nii💞 :
allah awajaalie safar ya kheri😭😭😭😭😭
2026-08-10 18:15:33
2
user8353092590145
mamy raykhanat :
Allah atupe hatma njema ndugu zetu hao mtaa 1 wote hawa
2026-08-10 17:43:24
4
user99006268167095
Nazly :
Allah awape subra wafiwa wote 🥺
2026-08-10 16:44:44
5
meiy970
mwaju to muna :
Innalilahi wainailahim 😭😭 Allah atupe mwisho mwema
2026-08-10 17:59:00
1
user38478991797802
mr.polite :
nimeshuhudia alfajir ya leyo ziwani wallah mihani Allah atunusuru na ss vijana tunapotea kwa wingi,ila nasaha zangu pia tuachane na uraibu
2026-08-10 11:58:38
6
ashakassim81
Asha Kassim :
2026-08-10 11:45:24
2
biabumohamed
mama afay :
😪😪😪😪😭😭😭😭😭😭😭😭 INNA LILAH WAINNA ILAIHI RAJIOUN ALLAH AWAJALIE KAULI THABIT.
2026-08-10 13:20:13
3
mr_magobe
Mr.Magobe :
punguzen speed wazanzibar mbio za magar na boda zitawamaliza
2026-08-10 17:41:22
1
liwalonaliwe23
liwalo naliwe :
heh hii nauhakika kwenye mpindo
2026-08-10 16:05:27
3
tumaheena
tumaheena :
😭
2026-08-10 12:55:30
1
ctyamiry
ctyamiry :
Sijui kwa nn madereva wa siku hzi wako ivi jamanii😳😳
2026-08-10 17:51:46
0
mimar_collection
Maryam Masudy :
innalilahi wainailahi rajoun
2026-08-10 13:18:42
3
ulfa42920
ulfa :
inna
2026-08-10 13:12:09
1
sahaf2022h
Said Said :
anatudangqnya bodoboda alikuwa wameshalewa
2026-08-10 15:57:53
1
ode.mwingi
ode Mwingi :
Innalillah wainnailayh rajiuun
2026-08-10 11:25:18
1
silimaarashidgmail.com
@Silima Rashid :
ikifika siku yk humpi mwenzakooo mungu azilaze sehemu zinazo stahili 😔
2026-08-10 19:43:00
0
rahma.seif15
Rashmi :
Innalillah wainnailaih rajioun
2026-08-10 19:29:18
0
hashnunhashim
Heroe 2 night 🧑‍🦯‍➡️🌎 ✈️ :
Wete ndio wap 👨‍💻
2026-08-10 19:26:40
0
mimiiy12343
mimiiy1234 :
Innaa lillahi wainna ilaihi raajiuun Mungu atupe mwisho mwema Allahumma aamiin in shaa Allah ❤️
2026-08-10 19:15:06
0
ustadh997
jawwad :
inna lillahi wainna ilaihi raajiun MUNGU awasamehe waja wake na sie atupe mwisho mwema Aaaamin Allahumma Aaaamin 🤲😭😭😭
2026-08-10 19:12:04
0
mohd24918
Moh'd :
Ina Lilah waina ilahi rajioun
2026-08-10 18:50:53
0
jumaa_0017
Salum Hamad :
Allah Awape kauli thabit
2026-08-10 12:13:39
0
To see more videos from user @zbc_zanzibar, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About