@abu.hamdan.alhamd: @maahadkisauni @sheikh.Yusuf.Abdi @Abu muhammad @Bin Bilal #sheikhjumaamir

ABU HAMDAN ALHAMDANY
ABU HAMDAN ALHAMDANY
Open In TikTok:
Region: KE
Monday 10 August 2026 10:25:39 GMT
3146
80
15
10

Music

Download

Comments

mohason03
abdulmwakubambany :
barakh Allah Kher
2026-08-10 12:30:14
2
isyamaba
islam yahya :
@islam yahya:hapo shekhe amesema wazi , mtume anazunguka sehemu ndizo, Kuna kuanzia kichwa mpaka kitovuni Hilo ni shamba sehemu ndizo zifaazo. kwahio shekh hapo hajsema makosa ,
2026-08-10 13:43:47
1
khalidilonka
Khalidi Lonka :
mimi naomba ufafanuzi wako kwa akili na vitabu. "Mtume alikuwa akiziba sehemu husika kisha anastarehe na kuzunguka katika mashamba anayoyaona yanamfaa" Je mashamba hayo ni yapi zaidi ya tupu ya mbele?
2026-08-10 11:23:01
0
alfauztwiba
ALFAUZ TWIBA :
swadkta
2026-08-10 12:39:18
0
bizzomtataman
بيزو امتاتا :
bila kuangalia fasir gan mzuri ,ata ufasir vzur vip bdo iyo hadith inamkosea adabu mtume. mtume awezi hadithia mambo ya chumbani kwake ata km ni mafunzi,sio kwa usluub huo !! kaka kueni na adabu na Mtume.
2026-08-10 13:33:11
0
user1455468446122
Abdulhakiim90 :
Assalaamu alaykum warahmatullaah wabarakaatuh
2026-08-10 10:52:00
0
user3292034958377
Khamis Bakar :
Mtuma post McheAllah
2026-08-10 12:39:21
0
abuu.maaja
زين العابدين علي بن الحسين :
Allah akulipe kheri wewe na sheikh wetu mzee wetu Allah awabaariki katika umri wenu
2026-08-10 11:22:40
0
abunasra385
Abu Nasra :
Hiyo clip ya huyo mshia inasikitisha sana kwa kumsingizia Sh.Juma Aamir.Wanajaribu kuendeleza agenda zao chafu.
2026-08-10 11:39:41
1
user1455468446122
Abdulhakiim90 :
Maa Shaa Allah wee Ustadh nakukubali maana haupo kwa Ajili Kuwafurrahisha watu bali Kueneza Haqq bila kujali Lawama za mwenye Kulaum wala idadi ya Comments
2026-08-10 10:55:12
0
husseintuwa
husseintuwa :
Hivi inaingia akilini mke wa mtu wa kawaida Tu au wa Shkh ajitokeze aongee hivyo kuhusu mambo ya chumbani na mumewe sembuse Mke wa Mtume Muhammad Rehma na Amani ziwe juu yake! Yani inatia hasira Sana! hadithi za kutungwa na Banii Umayyad ili kuhalalisha uchafu wao kwa kumsimgizia Mtume Muhammad na mke wake!
2026-08-10 13:27:12
0
bizzomtataman
بيزو امتاتا :
:bila kuangalia fasir gan mzuri ,ata ufasir vzur vip bdo iyo hadith inamkosea adabu mtume. mtume awezi hadithia mambo ya chumbani kwake ata km ni mafunzi,sio kwa usluub huo !! kaka kueni na adabu na Mtume. makusudia ni mazur ila hadith ni ya kilumvavu,mtume awez fundisha kwa usluub huo wakidhalili. ww tu huezi hadithia ya chumbani kwko sembuse mtume alokua juu ya tabia njema????
2026-08-10 13:34:46
0
To see more videos from user @abu.hamdan.alhamd, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About