huo mbona wizi wa zamani huo kaka au we unaona mpya?
2026-08-11 12:09:43
73
Gsg Gsg :
sasa mtu anaiba iphone
2026-08-11 05:31:56
11
Muhenduru Shao :
Wizi wa zamani uo
2026-08-11 03:47:54
30
ISMAIL MATHIAS 🙏🙏 :
Asante sana mkuu Kwa taarifa
2026-08-11 02:56:18
50
WAMBA BEY :
Sasa huo ni wizi mpya jmn???😂😂😂
2026-08-11 03:21:42
7
Chris Meshack :
sema SITA umeme sio sino
2026-08-10 19:24:08
7
ISRAEL :
asante kwa taarifa,hivyo vidude vya shot vinauzwa kariakoo, inabidi serikali ipige marufuku uingizaji wa hivyo vidude vya shot kwa sababu ni hatari sana
2026-08-12 01:59:41
16
Crown Essence Salon🌸 :
Teaser izo HALAFU WANAZIUZA MADUKANI KABISA
2026-08-11 10:47:36
5
pretty fa :
jamani nazileboda za mwenge 2 tegeta
2026-08-13 10:08:48
1
️ :
Na watu wanaangalia tu??
2026-08-11 06:53:42
1
felistaliamkayafe :
asante kwa talifa je lule kaka cm yak walichukuw au waneacha
2026-08-11 14:09:42
5
Soso :
Sio wizi mpya, ni wizi ulikuwepo sema hapo kati walipumzika. Sema watu hatuna ushirikiano, hao ni wa kuwalia doria tu.
2026-08-12 10:31:31
3
Agnes :
asanteĥ
2026-08-13 12:50:31
1
TUMANORD.COM :
uo so wizimpya kaka kitambo sana
2026-08-10 19:10:44
8
asia :
kwahyo wakati yote hayo yanaendelea mlikua mnaangalia tu?
2026-08-13 08:57:39
5
Saye Rorya :
watu wa Dar hawana ushirikiano kuhusu wizi mtu anaibiwa mbele za watu wanakuangal8a tuu
2026-08-12 10:56:01
4
Gee collection trends :
Hv kwann mnasemaga wizi mpya😂.. wizi ni wizi tu kuibiwa ndo kulekule bwana
2026-08-13 10:01:14
0
Ceci👠👔👗🧳💼🌂🧢👓💉🕰️🇹🎒 :
simu wamechukua hawajachukua?
2026-09-18 17:38:04
1
Tiffah :
asa uwo nao ni wizi mpya? au we ndo umechelewa kuujua
2026-09-16 05:13:05
1
LADY G WEAR👩🏽🦱🧑🏽🦱 :
Uwo uku Arusha sio wizi mpya mwaya wanashirikiana hadi na hao madereva bajaji
2026-08-11 07:22:07
4
ashlee_.36 :
asante kwa taarifa mungu akubariki sana brother
2026-08-11 17:36:02
2
Malaika :
hiyo ni msasani baba sio masaki
2026-08-11 14:50:44
2
Musiala 10 :
Hayo mambo sio mageni jijini labda kwa mgeni wa jiji
2026-08-11 20:36:20
2
lifemaisha :
mmmhh blaza unaeleza kwa umakini....mmmhhh
2026-08-11 16:12:44
2
To see more videos from user @kadyongotz, please go to the Tikwm
homepage.