mwanza apo kuna chimbo langu watu wa mwanza mnajua sana mpaka uyo katoka dsm mpaka huko
2026-08-10 13:46:36
1
omary manyanda :
manyanda African power 💪
2026-08-10 12:56:25
1
tanna_soul :
kaka jana kuna nilikuw buhongwa maeneo ya makaburini kuna mawe yapo na maajabu asee, asili inamengi✌
2026-08-10 12:11:25
1
Jerady Mfaume :
laki yangu inaniuma Sana haki ya mungu
2026-08-10 13:37:27
0
mwalimu :
kuzoea asili nikikukosea kabisa
2026-08-10 12:29:03
0
FIKIRI Nasibu :
mungu
2026-08-10 12:30:08
0
Junior Junior masana :
respect sana broo
2026-08-10 11:39:03
0
Batuli Said :
ni mungu tu
2026-08-10 12:28:22
0
SABRINA JABILI :
kaweka mungu
2026-08-10 12:18:04
0
Mr.Ep🎧🤍🤍 :
kaka nahitaji niongee nawe sana nawezaje nikakupata
2026-08-10 11:30:46
0
wizz dady :
naomb 2kalekodi una kityu mwalimu
2026-08-10 11:42:52
1
Ferdinando Mkweji :
KAKA NAOMBA MSAADA WAKO ..
2026-08-10 11:34:59
0
OLE KANGAI🦁 :
hivi mwana marudi ni nini kaka nasikiaga tu
2026-08-10 10:56:49
0
KING KINOTA :
nimekufata dar we umeenda mwanza
2026-08-10 12:14:03
0
Juma Masai :
Kuna jiwe pia huku kwetu Lina unyayo wamtu nakumbuka lipo polin tulikuwa tunaenda kuchunga tunaonyeshwa hata jina la yule mtu alieyekanyaga pale nimemsahau ila nakumbuka alkuwa ameandikwa jina kwa madishi ya langi Leo naona hii clip nakumbuka ule unyayo
2026-08-10 11:35:07
0
Egiberth Mutalemwa :
nakukubali mamyanda ...
2026-08-10 11:33:34
0
G_zo Face :
m
2026-08-10 11:09:57
0
frank japheth :
daaa iyo sehemu nilisha fika
2026-08-10 10:58:17
0
candilicious og :
kumbe unajua kuimba pia
2026-08-10 11:29:42
0
mkaliwao :
mungu
2026-08-10 13:01:32
0
ابو بلكس سلف :
Alla
2026-08-10 11:28:30
0
Brina :
Manyanda African Power 🥰🥰🥰
2026-08-10 11:25:16
0
Jesca :
manyanda natamani nijiunge
2026-08-10 11:22:22
0
To see more videos from user @planetmanyanda, please go to the Tikwm
homepage.