me naona leo hajaongea cha maana yan unapiga makelele kabla ligi haijaanza hata hao anaowasifia bado hawajaanza kucheza kwnye ligi hii hii sawa jamani simba timu kubwa sisi tumefika fainali na huyo huyo kagoma unaemkataa tumechukua kombe mbele ya yanga kombe la mapinduzi na hao hao wachezaji sasa nashangaa unaikandia simba ambayo haijaanza msimu au unaisifia simba ambayo haijaanza msimu. ama unaikandia simba ya mwaka jana au unaikandia simba ya mwaka huu sijakuelewa
2026-08-11 07:06:09
2
samira :
miraj anauchungu na timu jmn ila simba yetu mda mwengine
2026-08-10 16:55:05
15
Esta Dominick😘❤️ :
Jamani kwani mnajua selema amekuja yanga
2026-08-11 06:56:25
1
King Assa👑👑 :
naungna na miraji
2026-08-11 04:04:25
1
PICHA SAA TZ :
huyu miraji atakuja kumuua chagamba😂😂😂
2026-08-11 05:20:00
1
Fashford queen 👑👑👑 :
kaka sema wewe mm hata nikisema hakuna anaeniskia sababu sijulikani ila tajiri yetu anatia aibu Sana
2026-08-10 12:13:24
14
Alhaj Qassim :
2026-08-11 00:30:32
1
@ashleyofficial28 :
jamaa anajua mpira 😁
2026-08-11 04:26:10
1
Kevin Yondani :
safi miraji yani natamani san ungekua kiongoz kweny sekta yoyot
2026-08-11 04:25:16
1
user822727612839724 :
dar mungu akujalie utajili miraji tukupe tim ipo siku simba inacheza fanali
2026-08-10 14:42:29
5
Imu Dhab :
ila sahihi💯
2026-08-10 19:42:24
2
Alfarsy :
Bega ilo kaka atalivunja
2026-08-10 19:40:08
2
tshyjm :
Simba sc inaitaji viongozi wenye uchu wa mafanikio sio siasa