tunasubir tyu, tutengane ili Zanzibar iwe Zaid ya Singapore
2026-08-10 18:41:40
4
KKM :
na zanzibar c tufanye hivyo.
2026-08-10 14:16:56
6
Mr.man 😎 :
professor nitumiee
2026-08-11 06:03:09
0
Obed Brown :
professor nitumie
2026-08-10 17:32:17
1
Mwewe :
Haikufukuzwa bali walitaka wenyewe kutengana, na Malesia walikua wagumu sana kutengana na Singapore ila kwa vile ulikua ni muungano wa hiari Maliesia wakawa hawana namna
2026-08-10 12:26:28
3
Shopify Market :
Kwa hiyo UNATAKA KUSEMA NINI KUHUSU ZANZIBAR
2026-08-10 15:17:17
0
TRIPLE 9 :
Ulikuwepo
2026-08-11 06:25:01
0
kiba-Chuwa🇹🇿+🇰🇪☑️🤑 :
nitumie
2026-08-10 14:14:33
1
wewa official5 :
mbona ni wachina
2026-08-11 02:21:36
0
Abass soo :
na ss tukivunja mungano tutakua kuliko nchi yoyote hapa Africa☺️Zanzibar 1 tu 😊
2026-08-11 11:35:25
1
camel :
unatuma kwa shngp
2026-08-10 14:24:31
1
mazuye The Great :
pr nitumiee
2026-08-10 14:19:30
0
rogous :
kwaio na ss
2026-08-10 12:40:21
0
chirunje :
ulikuwepo
2026-08-10 14:20:54
1
✍️Ntahondi :
Nawashauri Zanzibar wajiondoe kwenye Muungano, wana kitu wanaweza kuwa kama Singapore, Watanganyika ni wabadhirifu mno,
2026-08-10 12:18:56
0
shazadisultani6 :
sasa unafikiri ni kity gani nchi zote za Africa ziko chini paka leo
2026-08-10 19:14:45
0
Captain.ilocs (Mr Adabuga) :
nass tumfukuze mzenji ama?
2026-08-10 14:50:57
0
chosen one :
Ndio maana mwalimu nyerere alisema zanzibar ikijitenga watakiona waiige
2026-08-10 12:27:09
0
chabiy alonso :
Wanjua tanganyika kitachotokea ata marehemu saif sharifu aliwambia 😂Zanzibar itakua kama Singapore
2026-08-10 19:25:26
1
prosecutormudy :
🥰🥰🥰
2026-08-11 18:03:46
0
To see more videos from user @grandprofessor4, please go to the Tikwm
homepage.