Uwepo wa Tanzania imara na yenye nguvu ndani na nje ya mipaka yake hiyo ndo imewafanya nchi jirani kupata furaha. Uhuru wenu Tanzania ndo uliipigania kwa vitendo. Mkiwa hamtataka kutuheshimu kwa mazuri yetu kwenu tutawalazimisha mtuheshimu kwa maendeleo yetu🙏🙏🙏🙏