some of them wen told so feel like we're so desperate
2026-08-10 19:23:29
0
Dee_310 :
Dah siku ya pili hii kaka tuna view status tu...penzi gumu kuliko kesi ya lissu😂💔
2026-08-10 13:11:06
55
paccome DRJ :
yeah so top top 🎩
2026-08-10 13:31:01
0
@im🌸d🌷ecruz❤️ly🌹 :
km unamkubali huyu bro maneno yake gonga like
2026-08-10 13:00:31
57
queen of hp :
we mkali bro is this the way you always treat your girl 😊
2026-08-10 13:17:04
1
happie :
wangu ukimkela ana kuchanaa😂😂
2026-08-10 17:00:23
3
mary_7124 :
Sina wakumwambia
2026-08-10 18:48:20
0
ironlady0821 :
😃cyio michael wangu
2026-08-10 18:43:11
2
Mariam idrissa :
@
2026-08-10 23:05:45
0
Rayah Ally :
mmmh iyo yatano sikuizi hatuogopi kuachwa
2026-08-10 14:00:43
3
Zee_Glow_and_Glam :
nakubali sn madini yako be blessed
2026-08-10 20:08:38
2
silvia tz :
weeeee unataka niachwe kabisa
2026-08-10 16:13:43
1
Muna collection.23. :
huo muda wakusema hayo Sina akinyamza nanyamaza akiniongelesha kama sipo busy najibu nikiwa busy sijibu
2026-08-10 17:03:52
2
MRS RJ :
Shukran tunaishi Hivo ulio Sema yot
2026-08-10 21:39:08
0
mchina :
kwa ninavyo mjua mpenzi wangu atasema mm nakuchiti 2achane
2026-08-10 16:13:20
1
Twny🎀🌹🌹 :
yapili niyangu
2026-08-10 14:00:48
1
cute caren✨️ :
natafuta mwenza wangu wa ivooo
2026-08-10 15:42:12
1
Women of Prayer✝️🙏❤️ :
Ameniiiii Ameniiiii 🙌 weweeee ni mwema sanaaa utunzwe na Mungu wa mbinguni 🙌🙏🙏
2026-08-10 20:24:04
0
cindu yeezy🇰🇲 :
aah kaka mahusiano km daladal ukishuka watu wanapand sas wee tudangany hlf wapewe nafas wengin
2026-08-10 23:04:57
0
Lastminites :
Hahahaha shekhe unafundisha mapenzi
2026-08-10 23:35:21
0
💍❤️ :
looh kun huyu jini wangu yupo bize mwiki ya pili nachok miee😂😂
2026-08-10 20:37:19
0
eddyabdallah22 :
Niko pamoja kwenye raha tu kwenye matatizo abak nayo mwenyewe
2026-08-10 20:43:27
0
kiduchu :
kaka maneno yako nimazuri sana na nimefatilia na nimefanya kama unacho sema nimemtumia sana ila hajibu na nikimpingia ana nifokea tu na pia ana niambia nitakucheki mida hiyo mida ni kikaushia weeee miezi inaisha mm nachoka 😭😭😭😭😭😭
2026-08-10 21:45:02
0
To see more videos from user @boilee_, please go to the Tikwm
homepage.