wew na mm had kiama yaan tena ngoj niipost status wananizoea
2026-08-10 14:49:17
7
Madam Me🌸❤️ :
Ningerepost sema ataona😂
2026-08-10 17:14:53
2
Babe Girl Isher🎀 :
FREE JUMA JUX🇹🇿
2026-08-12 23:39:19
1
Editha Frank :
Yaan me mtu akinikosea huwa nanyamaza sifanyi chochote lakin namuangalia kisha nacheka maana hajuwi nnachofikilia kumfanyia😂😂😂😂
2026-08-13 08:05:30
0
priority 🥰😘 :
😂😂 au sio mwanetyuu
2026-08-10 16:36:47
2
mom Amaal🦋🥰 :
hii nayo nd tabia yang au group O wew
2026-08-10 17:52:44
1
Adelina Netherlands 🇹🇿🇳🇱 :
nilitaka nishangae 🤣😂🤣
2026-08-11 18:22:01
0
Humble G :
khaa 🤣🤣🤣🤣🤣
2026-08-11 07:13:30
0
officalranny01 :
😂😂😂asantee
2026-08-11 11:22:32
0
💛💛sweety ❤️❤️ :
🤣🤣🤣🤣🤣na shindwa kuelewa
2026-08-11 04:50:55
0
naya🥰 :
ndo tabia yangu iyo sijawahi acha mtu salama nasubiri ajisahau
2026-08-11 12:23:09
0
🦃linah💍✨ lataliana🔐💎 :
Uwiiiiii nauliwa😳
2026-08-10 21:43:03
0
Vickie ♏️🥰🌹 :
Aya mambo ya kuandaaa mabomu kimyakimya ya Scorpio na group O na usiombe iwe positive 😅😅😅😅😅
2026-08-11 05:22:45
3
offical nino :
bora wew umempa tahadhar mm najua aoni hii comment ila sio yeye familia yke yte itonisahau
2026-08-11 15:50:44
0
❤️cute Aliyah 😍 :
huu ujumbe umekuja kwa wakati sahihi jana tu nimemaliza kumpasulia lafiki yangu yale maneno amabyo alikuwa ananisema mwaka 2025 jana nikaamua niache ujinga nyoooo alijuta na aliwaza niljuwaje me niljuwa kabla yake sitaki ulafik kwa sas na mtu ma mtu majinga unalipenda vizur lenyew linakuona kama zoba 😏😏😏😏😏😏 aliona me wa kunyea aaa nyooooo niliondka nyumbn nimeagaa 😏😏😏
2026-08-11 13:03:32
0
Bellah🦋 :
😂😂😂
2026-08-10 16:17:12
1
Fatuma :
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-08-10 13:30:55
1
To see more videos from user @popcornavenue, please go to the Tikwm
homepage.