@activevoicetv: AJALI MBAYA WATANO WAPOTEZA MAISHA HAPO HAPO.. Watu wa tano wamefariki dunia  baada ya Gari ya abiria aina ya Daina yenye namba za usajili (Z 965 B) kugongana uso kwa uso na Piki piki  yenye Namba za usajili (Z 452 PJ) huko katika Kijiji Cha Ziwani Wilaya ya Chake Chake Mkoa wa Kusini Pemba. Wakizungumza kwa masikitiko  makubwa Mashuhudua wa ajali hio iliyotokea alfajiri ya leo huko ziwani wamesema mnamo majira aalfajiri waliona gari likivaana uso kwa uso na piki piki aina ya boxa  na watu watano kupoteza maisha papo hapo. Daktari kutoka kitengo Cha Dharura katika Hospitali ya Wilaya  Vitongoji Dk Nassor Mohamed Ali amethibisha kupokea miili ya watu hao ambao tayari walishafariki dunia na baada ya taratibu kukamilika , kuikabidhi miili hiyo kwa familia zao . Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kusini Pemba,Abdalla Hussein Mussa amesema Chanzo cha ajili hiyo kilitokana na Mwendo kasi kwa madereva hao. #activevoicetv

active voice tv
active voice tv
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 10 August 2026 13:31:23 GMT
1611
63
4
10

Music

Download

Comments

ilham.khamy
il-ham khamy :
ah mtihani tushapoa
2026-08-10 20:12:42
0
hamadijsaidi
hamadij Saidi :
inaalillha wainnailahi rajuna peleni kwajali namsimba
2026-08-10 17:53:22
0
massoudsules1tiktok.com3
masoud sule :
poleni sana watu wa mzambarauni
2026-08-10 13:39:08
0
arim54902
Ali Rii Gift :
poleni sana allah awaajalie pepo inshallah
2026-08-10 19:19:36
0
To see more videos from user @activevoicetv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About