@prosper.william: 💚💛Bosi wa Yanga GSM akimchezea SIMBA anavyotaka na akitamba, huku akiendelea na msemo wake YANGA BINGWA. 💥Wakati huohuo wao waliingia na Simba wakiwa waoga wamemfunga kwenye kisawasawa na mitutu ya BUNDUKI. 💚TOFAUTI NI KUBWA SANA🤣🤣 💛FIKIA MAMILIONI YA WAPENDA MICHEZO NDANI NA NJE YA TANZANIA KWA KUTANGAZA BIASHARA YAKO NASI: ☎️+255 777 77 29 74