@livestockconnecttz: Hii hali inaweza kukuogopesha kama wewe ni mfugaji mpya! 😳🐥😂 Ukiona vifaranga vya broiler vimejilaza hivi, usikimbilie kuamini vimekufa. 👀 Kuna sababu mbalimbali zinazoweza kufanya vifaranga vilale au kujikusanya namna hii—na mfugaji anatakiwa kujua kutofautisha hali ya kawaida na ishara ya tatizo. 🐔🔥 #BroilerFarming #BroilerChickens #PoultryFarming #UfugajiWaKuku #Vifaranga

Livestock Connect Tanzania
Livestock Connect Tanzania
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 10 August 2026 14:11:45 GMT
43620
1109
89
97

Music

Download

Comments

nadia.chaz
Nadia chaz :
[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]nimeshtuka nikakimbia bandana kuangalia kuku wangu
2026-09-21 12:29:00
0
jefa82350
@jefa (lioness 💪).. :
[Tears of joy]kwann wanipe presha kiasi hicho jmn[Tears of joy]
2026-09-22 07:23:28
0
vx_trader75
it’s J’🫧 :
Vi kuku vivivu ivi 😂
2026-09-21 21:20:24
12
user80169294417132
official ahlamchachu 2 :
duuuh nikajua vimekufa jmn [Tears of joy]
2026-09-21 09:58:27
1
doa_traders_group
DOA GROUP :
KITAALAMU huko ni kulala kwa kutawanya mwili Kila kitu kimesinzia hapo iliyo kazini ni roho tu, lengo ni pumziko la heri
2026-09-19 19:21:46
10
cloudx17_
CloudX17 :
ASA WATU WASISHIBEE ZAO WAKALALA NYIE MNAKUJA NA STRESS ZENUU😂😂😂
2026-09-22 09:14:42
2
marketengineer.com
Market Engineer. :
huw vinapenda kuwashtua Roho so wanajua mnavitegemea 😂😂
2026-09-22 07:43:19
2
user9509546207223
Dolly🇹🇿🇨🇳 :
vinashiba sana hadi vinajisahau😂😂
2026-09-21 11:29:58
6
__unknown807
__unknown807 :
nitawachapaa😂😂😂
2026-09-21 09:35:11
3
mariavsdqjk
miracle :
Watu wasilale Kwa mbwembwe😂
2026-09-21 11:31:48
2
user4842182525047
jecca :
nilijua vimekufa kidogo nikupe pole
2026-09-21 11:58:52
2
roberttarimo61
🧑‍🦯 :
😁😁 alaf kuna mim juz apo si nikaon vifaranga wamejilaz hivy cz sijazoea kabisa si nikajua wamekufa ban au wameugua gafla😬 sangap nisianz kufuatilia kinyesi chak in deep na kufuatilia namn wanavy lishwa na kunyweshwa ila hik ki poz kina tisha😁 fah
2026-08-16 14:10:10
6
agripinagervas861
Agiepina :
Naomba shule juu ya hivi
2026-08-11 19:46:02
1
e_mswia
Erick Mswia :
Uyu atakuwa anaota anaogelea😂
2026-09-21 10:05:30
1
budimir_9
GUTI🇹🇿 :
Hawa jaamaa nijau Nilitaka niliee 😂😂🙌🏽
2026-08-10 19:01:58
0
zithakalimanzila8
Kalimanzila :
me nikajua vimekufa kweli🤣
2026-08-10 20:24:11
0
irene.haji1
Irene Haji🥰 :
Wakishashiba wanajifanya wamechoka usingizi mwingi😂😂😂
2026-08-11 18:55:41
0
yofavourite1
Yo FAVOURITE😎 :
kuna jiran et hivyo ivyo alizimia kakopa milion moja kajenga banda kila kitu asubuh anakuta wako ivyoo😂😂
2026-08-11 11:45:26
0
behindthevfx42
Tanzania forest lifals🇹🇿 :
mbona wakubwa awalalagi hivyo au ndo wanaogopa kubakwa 😁
2026-08-21 20:26:09
2
vistonyhouse.of.d
🔥♏VISTONY♈house of Divine🔥 :
Mimi mara yakwanza nakaa bandani nkimis kucheka 😀
2026-08-11 12:24:33
1
jmakuchi
J makuchi :
oyaaa jot likiwa Kali ukija lazm upagawee😂😂😂😂😂😂
2026-09-19 14:24:58
1
user53158568291364
Faty Fety colection :
yaani hapo wameshiba vizuri sana wanapumzika
2026-08-12 12:59:05
1
aviekent
Avie's :
nikivikuta hivo navichapa viboko vinne vinne😂
2026-09-22 07:32:35
0
beingmj3
xaverY_ :
Vinalala kama viko HanyMuni 😂😂😂😂
2026-09-22 06:19:31
0
jay.jaydon5
📌Mike. :
joto ikosawq
2026-09-22 09:57:59
0
To see more videos from user @livestockconnecttz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About