@wizzyzanizbar: we love mama Samia ❤️

wizzyzanizbar
wizzyzanizbar
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 10 August 2026 14:15:39 GMT
65335
2939
34
72

Music

Download

Comments

shafiq.abdalla
Shafiq Abdalla :
huyu mama nampenda sana Mungu ampe maisha marefu yenye heri nayo amlinde na husda
2026-08-10 20:59:52
4
aboudahmed953
mafash-fash :
Allah akuhifadhi inshallah....my Rais.....I lv u mama
2026-08-10 19:28:42
2
user3007427113305
machano :
nyumbani ni nyumba mamaetu kapendeza na kwetu Mashaallah Allah ampeumri mrefu mamayetu we love so much mama🥰🥰🥰
2026-08-10 19:07:42
11
esoes6830
esoes :
mungu ambarik zaid rais wetu na afya njema
2026-08-10 17:28:36
21
marllah06
magrethherin :
mm nguo ya mama nimeipenda
2026-08-10 19:35:47
3
barbosa09y
Barbosa09 :
samaleku ndo nn😳
2026-08-10 15:57:53
5
mainabeby2005
MAINA♥️♥️ :
mama kwa kudamshi
2026-08-10 20:31:03
1
elabdoul7
EL AbdouL :
🥰🥰🥰
2026-08-10 22:15:45
0
jabertz
Jaber Tz 🇹🇿 🇬🇧 :
😂😂😂
2026-08-10 21:02:24
0
leilakhamis2
leilakhamis833 :
mama umetisha naomba cherehani ya kufuama mama🙏🙏🙏
2026-08-10 17:26:18
2
kulty44
kulty :
mashallah nimependa rais anatembea kwa miguu amekumbushwa engine zake wakati anaenda saloon hurumzi
2026-08-10 16:34:54
4
fundiali2
FUNDI ALI :
mama mungu akupe umri mrefu wenye heri
2026-08-10 19:47:50
1
mohamedumri201
Muhammad Amur :
SAMA ALAIKUM NI NINI? C AFADHALI USEME SAMIA ALAIKUM.
2026-08-10 19:22:59
0
najju_8
najju_1999 :
Uhakikaa wizooo
2026-08-10 15:54:14
2
chibulubulu_123
mtumia :
mama Samia Suluhu Hassan
2026-08-10 21:37:11
0
juma5166
Juma :
yupo kweny mitaa alo kulia 🥰
2026-08-10 19:40:16
0
user4438700878417
dully :
zanzibar yet 😊
2026-08-10 19:01:28
0
jinibahar1
jiwe :
MashaAllah 🥰🥰🥰Allah akuhifadhi mama samiya
2026-08-10 17:23:14
0
user4510362775600
masanja paul :
mama wa taifa
2026-08-10 21:31:22
0
fatma.mbwana6
Fatma Mbwana :
masha allah mama Allah akupe maisha marefu
2026-08-10 19:05:01
0
moudyj.r
ASTRO BOY :
kwenye Dini yetu ya Uislamu hamna salamu iyo "Samaleku"
2026-08-10 16:58:37
2
msanii_mfuniko
Msanii_mfuniko🇹🇿🤣 :
yazamani sana unguja apo
2026-08-10 19:23:47
0
allyyassini0
ally yassini :
njaa
2026-08-10 17:35:16
1
user2354821515977
tumaaa :
Mamaake Nani mwenyew ashasema Ana watoto wawili t
2026-08-10 17:00:45
2
yussufazmihamad
yussuf 🇹🇿 :
😁😁😁
2026-08-10 15:03:02
1
To see more videos from user @wizzyzanizbar, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About