@rafiki_wamaombi: BWANA YESU ASIFIWE RAFIKI WA MAOMBI. Kuna usiku ambao Mungu habadilishi tu hali yako, bali hubadilisha utambulisho wako. 📖 “Nao wataitwa Watu Watakatifu, Waliokombolewa na BWANA; na wewe utaitwa Aliyetafutwa, Mji usioachwa.” — Isaya 62:12 Mwanamke, huu ni usiku wa kuondoa aibu, kukataliwa, maumivu na kila alama ya nyuma. Njoo ukutane na Mungu katika mkesha wa maombi ambapo tutamtafuta Bwana mpaka alfajiri. 📅 14 Agosti 2026 🕙 10:00 PM – Alfajiri 📍 HADDYPRO, Sinza Mori ☎️ 0718 832 030 | 0626 688 212 ❌HAKUNA KIINGILIO Mwalike dada, mama, binti na rafiki yako. Mungu anakuita kwa jina jipya. #RafikiWaMaombi #MkeshaWaWanawake #AliyetafutwaMjiUsioachwa #Isaya6212 #Maombi OvernightPrayer WanawakeWaImani
rafiki_wamaombi
Region: TZ
Monday 10 August 2026 15:10:23 GMT
Music
Download
Comments
Linah George :
Wa sinza please 🙏
2026-08-10 22:00:58
0
Anny store :
Nani yupo Mbezi beach tuongozane wote
2026-08-10 15:19:52
5
BLESSED IA♉️🔐 :
alie mbezi mwisho twende wote
2026-08-10 18:58:30
0
lora-stores :
Aliepo external tuongozane
2026-08-11 11:58:01
0
Officialbella ♒️ :
Wa kimara mwisho please 🙏 tuende
2026-08-10 20:09:17
0
Miss Annie 💕 :
Alie Banana nan tuongozane 🥰
2026-08-10 20:48:24
0
Irene Sagittarius ♐️ :
kinyerez jmn nani twende
2026-08-10 21:13:18
1
Na_bi🦋🫧❤️ :
Me nalia na Njombe🥹
2026-08-11 10:31:52
1
VEE MITUMBA👗 :
sijapata bado wa kwenda nae nipo mbezi ya magufuli😢
2026-08-11 06:25:25
0
Mama G braids :
wa tabata mpo wapi
2026-08-11 12:46:18
0
Judie❤️ :
Nani yupo kigambn twende
2026-08-11 07:43:42
1
Aliyah :
Sipati wa Mbezi Tuende wote jmn 🥺
2026-08-10 18:58:14
0
Vee :
namba ya kunielekeza
2026-08-11 08:22:28
0
Aggy💕💕 :
nani yupo kinyerezi mwisho tuabatane ote
2026-08-11 13:49:32
0
grajokyando :
namimi nitakuwa pamoja nanyi
2026-08-11 17:58:34
0
Jep Tonnie :
Mwanza mko wapi
2026-08-11 18:08:41
0
Jessy Manka ❤️🦋 :
Nani Wa goba jmn twende wotee nina mengi ya kumweleza mungu wangu 😭😭🙌🏿
2026-08-11 06:58:06
0
petty saloon :
Ntakuepo Mungu anisaidie
2026-08-10 20:15:30
0
stella :
Amen
2026-08-10 20:36:02
0
Daynah❤️🔐 :
Mkujeee na mbeya sasa 🥹🙏🏾
2026-08-11 05:06:41
0
Happyness Paschael :
natamani name nifike
2026-08-11 15:00:08
0
Gee.ria💋🍒 :
Aliyoko Tegeta tuondoke wote jmny
2026-08-10 16:13:53
2
its_.mella :
Wa mbezi beach please,Msiniache
2026-08-10 22:54:22
0
Pretty Angel🕊️🌸🦋🌺 :
Mapema nije hapo nilie niachilie 🥹🙌
2026-08-10 20:25:24
4
To see more videos from user @rafiki_wamaombi, please go to the Tikwm
homepage.