imagine me nashare gemail na yule baba picha zote anazo,,,aaah avoid unnecessary evidence bhana
2026-08-11 19:22:41
0
Laura Alfonce :
Shoppers ya dodoma 🥰
2026-08-11 20:57:12
0
Brilliant💕 :
Group 0 tuna shida
2026-08-11 08:43:38
806
D Ukwama :
Huyo ni mimi I don't do pictures..... 😂😂
2026-08-11 13:44:28
1
#Triciakim's :
hiyo n group o
2026-08-11 11:49:57
0
antia :
labda usiwe group o na first born asee mda huo hakuna
2026-08-11 12:52:52
178
Jackie :
Huyu ni Mimi 😂😂 Simu yangu imejaa screenshot ya vitu vya kununua
2026-08-11 11:21:39
491
♍️ 🦋 :
Mimi Sipendi Maana Watakaoview Watadhani Nachezea pesa kumbe Sina Hata Izo Pesa Ni out za Wenyewe😂
2026-08-11 07:45:54
153
sarah♎️ :
hata picha ya pamoja ya mimi na Babe wangu sina
2026-08-11 13:46:08
96
Saida🧕🏻 :
Kufua kwenyew nafuaga usk sjawai fua mchana maisha yang yote😁
2026-08-11 15:43:50
27
Cur_poppah🫧🦋 :
ma introvert 😂
2026-08-11 12:53:11
9
kathyrine🤎🧸 :
Avoid unnecessary evidence
2026-08-11 13:10:47
9
bibiee085 🤭 :
mmh kumekucha kila kitu group O
2026-08-11 14:18:45
9
its leyla :
Ongezea na hatuendi na mtu yeyoteeeeee
2026-08-11 19:17:46
9
princessfifi :
Ila girls unakuta mtu ana comment sipendi picha ila ukimchungulia unakutana na picha kibao 🙌😂😂
2026-08-11 12:40:33
11
jo berry🦋🖤 :
Mimi napita kwenye account ya kila anaesema hapigi pich wala ajichuki video nabaki nacheka 😂😂
2026-08-11 13:20:32
11
Jesca Ally :
Group O mm stak hata wagen nyumban kwanguu ukijichanganya kujakuja ovyoo siitik na nnakuwa nipo ndanii hata ndugu zangu stak napenda kubak pekeyangu na huoo mda natumua kusoma bibble kutafakar kuomba nikichoka nalala😒😒😒😒
2026-08-11 15:43:34
6
Shazo De Cute :
yan ciwez kwenda out nispige picha yan ntaazma ata cm ya mtu yang ikizm😂😂😏
2026-08-11 14:31:51
6
Nono7/21☕️🇧🇮+🇰🇪=🇹🇿 :
Hahah watoto wamwisho ndio tunatabia hio😂 ma introvert
2026-08-11 18:18:08
6
mee❤🦋🔐 :
Ko apa kila mdada hataki mambo ya picha si ndiyo😅😅😅😅
2026-08-11 11:36:59
12
kim_mancah1 :
alafu Kuna Mimi sipendi kwenda na mtu mahali aniambie nipige picha mara hatulii ni kujisnap kila saa mara apige vyakula picha 😏😏😏😏😏
2026-08-11 15:04:34
24
official j💐 :
yaan mimi spend kupga picha sjuh n ushamba 🤣🤣🤣
2026-08-11 16:34:55
20
neylee charmy :
Sasa huy ni me 😂😂😂😂😂😂 cjui naonaje ya sipendi kila mtu ajue nimefanya nn unakuta mtu anapost anaumwa hadi watesi wanajua anaumwa wanamuombea kifo 😂😂😂😂😂
2026-08-11 09:30:48
46
To see more videos from user @captainkiduku1, please go to the Tikwm
homepage.