wewe bado learner Mkuu safe option ni no sending off tu ,au over 31 throw in
2026-08-10 19:13:52
6
#luhungaTz❤ :
Jana nimeomba Kona sita tuh watu 22 zimewashinda kutoa Amna mbinu ni bahati tuh
2026-08-10 19:48:56
7
its_dee brown🇿🇼🇹🇿✨🌟🔥🔥 :
mara ya mwish kueka GG inter milan na juve 2019 baad ya hapo mwendo wa kona,kadi,mipira ya kurusha,foul na kanji anapasuka vby mno
2026-08-10 19:21:50
10
Princewilley 26 :
ongea haraka nipo na mama mtu
2026-08-10 16:42:38
3
Deathbed Doctrines :
hata corner zinachana sana,,jana tu nimepoteza laki 3,kwa kuchaniwa corner na Lask Linz,nilimpa Wienn ashinde corner Lask Kapata corner nyingi,ikachanika
2026-08-10 16:37:32
5
NeuroX MD Étudiant :
app yenye ma opshen meng ni ipi
2026-08-10 18:58:43
0
mfalme Daud Tz :
@mfalme Daud Tz:uhakika kaka mm corner huwa naziamini sana lakini kuna ligi za kubetia corner Mfano china,korea,Uholanzi
2026-08-10 18:24:21
3
Doreen Keyman :
somo limeeleweka teacher😁
2026-08-10 16:19:38
0
Mkamalia💰🎲💰 :
umerud mzee
2026-08-10 17:00:41
0
Fx tentation🇹🇿🇹🇿🇹🇿👌 :
mkamalia smart sana
2026-08-10 20:38:22
0
james umeme Tz :
nilicheza corner nayo ni ngumu
2026-08-10 21:12:59
0
TK CHIRCHIR :
, ok
2026-08-10 15:58:50
1
user52654827168 :
mitaji ndiyo hatuna
2026-08-10 21:05:48
0
MJ Domination :
mbona tulishaama kitambo umechelewa kugundua hilo
2026-08-10 20:39:58
0
Michael Gabriel :
chekechaaa kaka Wizzo
2026-08-10 19:18:49
0
steven. 27 :
so kwel
untk tuje kwenye channels yako
2026-08-10 19:14:10
0
Furuko Boy :
good
2026-08-10 19:28:56
0
first born☠️☠️ :
Nimekufollow kaka
2026-08-10 19:19:03
0
w_Mhagama :
ni sawa lakini haikuwa na ulazima wa kuandika😊
2026-08-10 19:16:51
0
DRACARYS :
nakubali kaka
2026-08-10 15:40:04
0
To see more videos from user @wilsonwizzo3, please go to the Tikwm
homepage.